dawa ya deni....

jossey1979

Senior Member
Apr 28, 2008
172
41
Leo nimeona Barua ofisini ya kukumbushia wale waliopata mkopo kwenye Bodi ya mikopo na bado hawajaanza kulipa waanze kufanya hivyo mara moja lasivyo mwajiri pamoja na mwajiriwa atachukuliwa hatua kali.
Ningeomba iwe hivyo na kwa mafisadi pia Mungwana.
 
Back
Top Bottom