VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Huo mradi wakuonyesha mafanikio walishauanza tangu mwaka jana lakini naona ulifeli,
Walijikuta wanaingia gharama kubwa sana kulipia matangazo yao kwenye vyombo vya habari huku wananchi wanazidi kuwakataa,
Tunawasubiri tena karibuni!
Hizo ni porojo na ndoto za Mchana kweupe!! afu ujue hao ni waalikwa ambao lazima wapewe posho angalau kwa kusema chochote.!!!!!! Watatuonyesha kwa vitendo gani? kwani hatuoni? Labda wawaonyeshe akina Obama wageni wa siku moja lakini tunaishi kwenye umaskini uliokubuhu, tunaishi kwenye ufisadi na tunaishi kwa hofu inatokayo kwa hao wanaowakata bwatu vidole, kung'oa kucha na kuteka watu mbalimbali.
Huyo aliyetoa mawazo hayo yeye katika kipindi chake tutamkumbuka kwa yapi? Hao jamaa wajue tu kwamba safari yao ndo ishafika wajiandae tu kwenda chobingo kama KANU ya Kenya.
Tumeonewa kiasi cha Kutosha, Tumenyanyaswa kiasi cha kutosha, Tumepuuzwa kiasi cha kutosha, Unyonge wetu ndio umetufikisha hapo. Hatudanganyiki? Peoples poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer?
Dawa ya CHADEMA na wapinzani wengine imepatikana. Mjumbe mmoja wa Baraza la Wazee la CCM Taifa amependekeza kikaoni Dodoma kuwa dawa kuu ya wapinzani ni kuwaonesha wananchi mafanikio ya chama tawala kwa matendo. Mjumbe huyo ambaye alikuwa Makamu wa CCM Tanzania Bara amesema kuwa wapinzani kama CHADEMA hawatakuwa na la kusema ikiwa wananchi wataona mafanikio yaliyoletwa na CCM kwa macho yao wenyewe.
'Hakuna haja ya kutumia nguvu. Kuonesha tu kutatosha. Tukifanya hivi,chama chetu kitaimarika zaidi na kuzoa kura kwenye uchaguzi wowote. Tuachane na propaganda...tuitekeleze Ilani kwa matendo' alisema Mjumbe huyo
Ni matumaini yangu kuwa hata matumizi ya vyombo vya dola kuimarisha chama na kuusumbua upinzani sasa yatapungua au kukoma kabisa. Hakuna haja ya kukamata wala kushtaki wapinzani.CCM yetu yaweza kufanya jambo la kuonesha mafanikio kwa manufaa makubwa.Ni wakati sasa wa kufanya siasa kwa vitendo. Vyombo vya dola(kama alivyowahi kusema Mwenyekiti wa Taifa) havitakisaidia chama chetu cha Mapinduzi
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Serekali yangu haitokani na mimi ,haijui mimi ni nani na huijui mimi ninataka nini sina hali kwa kweli!
Tumeonewa kiasi cha Kutosha, Tumenyanyaswa kiasi cha kutosha, Tumepuuzwa kiasi cha kutosha, Unyonge wetu ndio umetufikisha hapo. Hatudanganyiki? Peoples poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer?
mia mia kamanda!!!!hizo ni porojo na ndoto za mchana kweupe!! Afu ujue hao ni waalikwa ambao lazima wapewe posho angalau kwa kusema chochote.!!!!!! Watatuonyesha kwa vitendo gani? Kwani hatuoni? Labda wawaonyeshe akina obama wageni wa siku moja lakini tunaishi kwenye umaskini uliokubuhu, tunaishi kwenye ufisadi na tunaishi kwa hofu inatokayo kwa hao wanaowakata bwatu vidole, kung'oa kucha na kuteka watu mbalimbali.
Huyo aliyetoa mawazo hayo yeye katika kipindi chake tutamkumbuka kwa yapi? Hao jamaa wajue tu kwamba safari yao ndo ishafika wajiandae tu kwenda chobingo kama kanu ya kenya.
Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha, tumepuuzwa kiasi cha kutosha, unyonge wetu ndio umetufikisha hapo. Hatudanganyiki? Peoples poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer?