Mbegu za mlonge ndo zikoje mkuuwanaume wengi wanaonekana wachovu kwenye suala zima la 6 kwa 6, wanaume hawa ni wale wanaowahi kufika kileleni mapema kabla ya wapenzi wao hawajafika..
Leo naomba nitoe njia za asili kabisa za kupunguza au kumaliza tatizo hili
1. mazoezi
mazoezi ya miguu hasa mapaja yanaeweza kukusaidia kutibu tatizo lako
JINSI YA KUFANYA
simama wima na miguu yako iwe kama alama ya V.. anza kushukuka chini kama vile unachuchumaa then inuka wima fanya hvyo mara 20 kisha pumzika sekunde 10 rudia tena mpaka raund 4. hakikisha unakula sana matikiti maji kula na mbegu zake
2. mbegu za mlonge
chukua mbegu za mlonge zimenye kisha twanga zilainike kama karanga..
JINSI YA KUTUMIA
weka kijiko 1 cha chakula kwenye maji moto au chai fanya kunywa mara 2 kwa siku "asubuhi na jioni"
FAIDA
muda wa kufika kileleni utaongezeka mara dufu au zaidi kufikia hata dakika 20-30
HASARA
inawezekana ikawa kero kwa mpenzi wako kwa sabubu anaweza umfikisha kileleni mapema lakini ukawa ndo kwanza hata dalili za kufika bado..
Huyo mwanamke pichani ana nguvuu....sikuhizi nadhani hawapobao la makinikia
View attachment 525340
Kuna ukweli kwa haya uloeleza. Ila waeleze hizo mbegu za mronge ukizidisha kidogo ni lazima uharishe hatar.kwa hio wanaotaka kitumia tumieni kidogo sana msije kuharibu mbele za watu!!!!!!wanaume wengi wanaonekana wachovu kwenye suala zima la 6 kwa 6, wanaume hawa ni wale wanaowahi kufika kileleni mapema kabla ya wapenzi wao hawajafika..
Leo naomba nitoe njia za asili kabisa za kupunguza au kumaliza tatizo hili
1. mazoezi
mazoezi ya miguu hasa mapaja yanaeweza kukusaidia kutibu tatizo lako
JINSI YA KUFANYA
simama wima na miguu yako iwe kama alama ya V.. anza kushukuka chini kama vile unachuchumaa then inuka wima fanya hvyo mara 20 kisha pumzika sekunde 10 rudia tena mpaka raund 4. hakikisha unakula sana matikiti maji kula na mbegu zake
2. mbegu za mlonge
chukua mbegu za mlonge zimenye kisha twanga zilainike kama karanga..
JINSI YA KUTUMIA
weka kijiko 1 cha chakula kwenye maji moto au chai fanya kunywa mara 2 kwa siku "asubuhi na jioni"
FAIDA
muda wa kufika kileleni utaongezeka mara dufu au zaidi kufikia hata dakika 20-30
HASARA
inawezekana ikawa kero kwa mpenzi wako kwa sabubu anaweza umfikisha kileleni mapema lakini ukawa ndo kwanza hata dalili za kufika bado..
nimependa hiyo avatar yako..kama kuna mda mnakaa hivi jaribu kumuomba azame uvinza..raha yake siez elezaHii mada hainihusu..
Uumewah kuharbu mkuu au??? Unazungumza kwa x-perianceKuna ukweli kwa haya uloeleza. Ila waeleze hizo mbegu za mronge ukizidisha kidogo ni lazima uharishe hatar.kwa hio wanaotaka kitumia tumieni kidogo sana msije kuharibu mbele za watu!!!!!!