Dawa ya babu inanitesa

Jamani fukunyueni posti zingine za huyu dogo wa matombo maana kazidi na stori zake za uongo Tyta

Acha uvivu wa kufikiri wwe sio kila thread niya mtu husika,thread zingine tunavaa uhusika wa watu wengine wenye shida hizo tunatafuta namna ya kuwasaidia!,akili kubwa siku zote hutawala akili ndogo,angalia kama wwe unaropoka bila kukijua unachokisema.
 
Last edited by a moderator:

kwa ushauri zaidi, endelea kuomba ushauri
 
Kabla ya kunywa au kupewa dawa lazima uambiwe mauzi madogomadogo ya dawa hyo huyo babu hakukwambia???
 
jamani hawa wa sasa hata hawahitaji hirizi..........mwandishi hujiamini tu hiyo hirizi imefungwa mavi ya kuku tu humo ndani hakuna lolote
 

afadhali umemwambia coz kuna mapimbi sana hayaelewi ni kukariri tu
 
We pimbi kweli,jf ni sehemu ya kupunguzia stress,hasa kwenye jukwaa la mahusiano,inshort sija jizungumzia mmi nimechukua uhuska wa mtu mwenye hayo matatizo ili niweze kumshauri,usikariri wwe!

Ndoroooooobo
 
Ingekuwa vema ukarudi kwa babu aondoe hiyo kitu.
Shida ni pale kama babu ameshakufa!
Huko ndo kujochanganya!
 
Rudi kwa babu akaichakachue ipunguze makali...
Anaweza akaichakachua ikazidi kuchachuka kuzidi hata hali ya awali kabla ya kuimeza na ikawa ya chuki na kila mwanamke akikutana nae anakuwa anamchukia
 
Jamani fukunyueni posti zingine za huyu dogo wa matombo maana kazidi na stori zake za uongo Tyta
Dah! Kweli nimeziona kumbe ni muongo .Na ukiwa muongo usiwe msahaulifu jamaa alijisahau kuwa tayari katupotosha japo ina chekesha.
 
Last edited by a moderator:
Kuna wakati huku MMU huwa kuna wapumbavu sana...
 
julius caesar na yule "Ng'ombe" wenu wa kike umeshamalizana naye???
 
Last edited by a moderator:
We pimbi kweli,jf ni sehemu ya kupunguzia stress,hasa kwenye jukwaa la mahusiano,inshort sija jizungumzia mmi nimechukua uhuska wa mtu mwenye hayo matatizo ili niweze kumshauri,usikariri wwe!

naogopa kukujibu ili kulinda personality yangu. Ila kwa ufupi tu na kwa jinsi ulivyojibu against yo rubbish posts, Sina uakika kama akiri zako zinajaa kile kijiko kidogo cha sukari!!!
 
Kuna haja ya kua na usaili Wa kujiunga JF kuna wadwanzi wanazingua sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…