ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,956 Reaction score 7,002 Apr 11, 2016 #1 Wadau wa teknolojia salam. Nina site yangu natafta choo, lkn kila nikichimba, nakuta jiwe limesambaa kufunika eneo lote linalokusudiwa kuchimbwa choo. Watalaam, nitumie nn ili niweze kuondoa mwamba huo? Natanguliza shukrani
Wadau wa teknolojia salam. Nina site yangu natafta choo, lkn kila nikichimba, nakuta jiwe limesambaa kufunika eneo lote linalokusudiwa kuchimbwa choo. Watalaam, nitumie nn ili niweze kuondoa mwamba huo? Natanguliza shukrani
Shindu Namwaka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 4,911 Reaction score 3,084 Apr 11, 2016 #2 Tumia Baruti kulipua huo mwamba
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,956 Reaction score 7,002 Apr 11, 2016 Thread starter #3 Shindu Namwaka said: Tumia Baruti kulipua huo mwamba Click to expand... Mkuu, baruti ina masharti makubwa, maana hadi upate kibali kwa afisa madini wa mkoa. Lkn pia nyumba zote za pembeni zitajuta kuwepo eneo hilo, cracks lazima. Nilisikia kuna sumu ukiimwaga mwamba au jiwe linaoza na kubaki laini tu. Ndo naiulizia mkuu
Shindu Namwaka said: Tumia Baruti kulipua huo mwamba Click to expand... Mkuu, baruti ina masharti makubwa, maana hadi upate kibali kwa afisa madini wa mkoa. Lkn pia nyumba zote za pembeni zitajuta kuwepo eneo hilo, cracks lazima. Nilisikia kuna sumu ukiimwaga mwamba au jiwe linaoza na kubaki laini tu. Ndo naiulizia mkuu