dawa nzuri ya UTI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dawa nzuri ya UTI

Discussion in 'JF Doctor' started by s.fm, Aug 27, 2010.

 1. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  i hope wote mambo yako fine! naulizia ni dawa gani nzuri ya UTI, na kama kuna anaejua linapopatikana tunda linaloitwa (cranberry) nimesikia ni zuri kusafisha kibofu
   
 2. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  linapatikana wapi au kwa kiswahili ninini? isije ikawa zaituni ahaaa haaaa
   
Loading...