Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,515
- 112,125
- Thread starter
- #41
dawa ya upweke ni kupiga miruzi nyumba nzima mpaka mashavu & akili ikukae sawa[emoji125][emoji125]
[emoji12] [emoji12]Upweke dawa yake ni ratiba nzuri ambayo itakuchosha then usiku utaingia utalala. Nimepitia hiyo hali sana sometimes kulala mchana bila sababu but now nimeikubali hali na maisha yanaendelea.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]