Hoptz Member Joined Jan 5, 2017 Posts 8 Reaction score 4 Apr 4, 2017 #1 Naomba kuuliza kama unameza dawa ukinywa mbege.... Inaweza kukuletea madhara???? Kuna mbege inantamanisha hapa sana na mimi nameza dawa za malaria.
Naomba kuuliza kama unameza dawa ukinywa mbege.... Inaweza kukuletea madhara???? Kuna mbege inantamanisha hapa sana na mimi nameza dawa za malaria.
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,557 Reaction score 24,180 Apr 4, 2017 #2 Kama mbege ni togwa Kunywa tu Mkuu.