Hoptz Member Jan 5, 2017 8 4 Apr 4, 2017 #1 Naomba kuuliza kama unameza dawa ukinywa mbege.... Inaweza kukuletea madhara???? Kuna mbege inantamanisha hapa sana na mimi nameza dawa za malaria.
Naomba kuuliza kama unameza dawa ukinywa mbege.... Inaweza kukuletea madhara???? Kuna mbege inantamanisha hapa sana na mimi nameza dawa za malaria.
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member May 8, 2013 9,552 24,164 Apr 4, 2017 #2 Kama mbege ni togwa Kunywa tu Mkuu.