Dawa mpya Loliondo kwa Babu.

Dawa mpya Loliondo kwa Babu.

RICH OIL SHEIKH

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
883
Reaction score
170
Babu wa loliondo.jpg

Hii ni NEW VERSION ya kikombe cha babu kitaanza kutolewa mapema february.
 
lazima itaikua inaongeza nguvu za giza
 
haa haa lazima ntaenda tena, nikawasabahi wasonjo. Dah ile ilikuwa adventure kali sana just cant 4get
 
Wenye imani zenu, Babu kaoteshwa tena mjiamdae kwenda Samunge February.
 
Yeremia 23.25 Nimesikia
waliyoyasema manabii
wanaotabiri uongo kwa
jina langu, wakisema,
Nimeota ndoto; nimeota
ndoto.
23.26 Je! Mambo hayo
yatakuwa katika mioyo ya
manabii wanaotabiri
uongo hata lini, manabii
hao wenye udanganyifu
katika mioyo yao
wenyewe?
23.27 Wanaodhania ya
kuwa watawasahaulisha
watu wangu jina langu
kwa ndoto zao,
wanazomhadithia kila mtu
jirani yake, kama vile baba
zao walivyolisahau jina
langu, kwa ajili ya Baali.
23.28 Nabii aliye na
ndoto, na aseme ndoto
yake; na yeye aliye na
neno langu, na aseme
neno langu kwa uaminifu.
Makapi ni kitu gani kuliko
ngano? Asema Bwana.
23.29 Je! Neno langu si
kama moto? Asema
Bwana; na kama nyundo
ivunjayo mawe vipande
vipande?
23.30 Basi kwa sababu
hiyo mimi ni juu ya
manabii hao, asema
Bwana, wanaompokonya
kila mtu jirani yake
maneno yangu.
23.31 Tazama, mimi ni
juu ya manabii, asema
Bwana, wanaotumia ndimi
zao na kusema, Yeye
asema,
23.32 Tazama, mimi ni
juu ya hao wanaotabiri
ndoto za uongo, asema
Bwana, na kuzisema, na
kuwakosesha watu wangu
kwa uongo wao, na kwa
majivuno yao ya upuzi,
lakini mimi sikuwatuma,
wala sikuwapa amri; wala
hawatawafaidia watu hawa
hata kidogo, asema
Bwana.
 
Back
Top Bottom