Dawa ipi muhmu kutumia??

Mwinga

Member
Jul 28, 2011
15
0
kuna tiba ya asili kwa muda mfupi kukata tumbo likikuzidia, chukua maji ya moto kiasi then changanya na limao baada ya hapo ukiona tumbo lako linazidi kuuma nenda kamwone daktari.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom