Dawa hii ya mitishamba ina walakini ichunguzwe

Hizi dawa za namna hii nyingi sn ni feki ndio maana mm nkiona mtu anatangaza humu huwa namwambia anipe kwnz halaf nilete mrejesho lkn wote huwa wanakimbia
 
Doh! Mgogo kakuliza, pole sana.

Halafu asilimia kubwa ya watu hawana matatizo ya nguvu za kiume, ni saikolojia juu ya tendo ndo tatizo. Nakushauri nenda hospitali
 
Hizi dawa za namna hii nyingi sn ni feki ndio maana mm nkiona mtu anatangaza humu huwa namwambia anipe kwnz halaf nilete mrejesho lkn wote huwa wanakimbia
Point noted Sir
 
Wewe hujawahi kununua kitu bar!!? Au umetaka kuonekana unatoa povu tu!!!?
Inategemea na bidhaa..siwezi nunua kwa machinga dawa ya aina yoyote ile hasa ya kunywa ..never.

Pengine ulishakuwa umelewa balimi ukalitamani limalaya hapo baa ukaona ununue ukaikomoe k.
Mtakuja kufa juu ya papuchi
 
Ila me naomba kuuliza....., hivi mnapokuwa mnatumia dawa kutoka kwa hawa madokta wa elimu mtaani dotcom huwa mnatarajia nini?!

Most of hawa watu huwa si trained specialists kwa maana kukijua wanachofanya.....

Sikatai wapo traditional specialist ambao wanaielewa vema mitishamba na hata akikupatia dawa inakuwa inafanya kazi vema....

So nashauri wajameni, kuweni na background record ya hawa tunaowaita ni madokta wa dawa za kienyeji.....
 
pole sana bwana mdogo, tukiwaambia njoo mwonane na madaktari kwenye ofisi za hadhi nyie mnakutana na watu bar pole kwa kweli, kama una shida genuine tuwasiliane naweza kukutanisha na medical doctor atakupa ushauri na suluhisho la kudumu.
 
Ok, Ili tukushauri tuambie matokeo ulotarajia baada ya kunywa hiyo dawa.
 
Inategemea na bidhaa..siwezi nunua kwa machinga dawa ya aina yoyote ile hasa ya kunywa ..never.

Pengine ulishakuwa umelewa balimi ukalitamani limalaya hapo baa ukaona ununue ukaikomoe k.
Mtakuja kufa juu ya papuchi
We we utakuwa Mwalimu!!! Unazumzia kunywa balimi??!!!!
 
Rafiki naona umetoa hoja na kuijibu mwenywewe." Huwakubali waganga wa miti shamba, bado hukatai kuwa wapo waganga wa mitishamba wazuri" any way siyo mbaya umechangia hoja
 
pole sana bwana mdogo, tukiwaambia njoo mwonane na madaktari kwenye ofisi za hadhi nyie mnakutana na watu bar pole kwa kweli, kama una shida genuine tuwasiliane naweza kukutanisha na medical doctor atakupa ushauri na suluhisho la kudumu.
I concur with u japo mie sio bwana mdogo. Nitakupataje ndg
 
Hata yeye alisema inatoka Congo Mkuu!!!
Mkuu kama una shida hiyo tuwasiliane mkuu mimi niko Sumbawanga nitakutumia ya kutest bure ila uwe na mwamamke zaidi ya mmoja ama sivyo ukiuwa mimi sihusiki mkuu
 
Mkuu kama una shida hiyo tuwasiliane mkuu mimi niko Sumbawanga nitakutumia ya kutest bure ila uwe na mwamamke zaidi ya mmoja ama sivyo ukiuwa mimi sihusiki mkuu
Mpaka kutapeliwa hiyo maana yake nina shida, sijasimamisha miaka 2_sasa
 
Nafikiri nyingi ya hizo dawa ni chenga, tujitahidi kutumia njia mbadala kama kula matunda mbalimbali, nyama ya ng'ombe, maziwa, samaki mazoezi hasa ya kunyanyua vitu vizito mara 3 kwa wiki. Kuwa na msongo unaosababishwa na mihangaiko ya kila siku na maswala ya kisaikolojia pia huchangia pakubwa
 
Kusimamisha mb*** na kukoj*** lakini haikuwa hivyo
Sasa wewe ulitaka baada ya kunywa dawa mbooga isimame kisha umwage kwani hiyo dawa ndo ****liza? Au ulishaandaa demu wa majaribio au ndo kusema kama hiyo Mbooga ingesimama ndo ungeshtua na chaputa?

OK, kama kweli Mbooga yako haisimami tafuta ma dakitari wa hospitali pia usasahau kufanya Dua na kufanyiwa dua za deliverance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…