imefanya nini kwann ichunguzwe?Hii ndo dawa niliyoiongelea hapo juuView attachment 865011
hushangazwi na mwarobaini wa mwakipesile?Haya madawa mengine tuwe waangalifu sana,sijawahi kusikia dawa inatibu multiple disease tena na magonjwa ya mishipa ya damu na moyo???? Akili za kuambiwa changanya na zako
Kutokana na maelezo yako ni kuwa una shida umekunywa ili kutatua shida zako za kiume hapo nitakuelewa kuwa dawa haikufanya kazi. AU umekunywa na wewe huna shida tajwa lakini unategemea kupata matokeo fulani ambayo huwezi pata kama huna shida husika, hapo vipi?Dawa yenye picha hapa chini kama inavyojieleza ni dawa Magumashi kabisa, inavyoelekea imewekwa tu majani ya makavu ya kunde au majani ya maharage kisha kuwekwa kwenye karatasi ya rangi na kuuzwa kama dawa ya kutibu maradhi yalioandikwa katika hiyo karatasi. Dawa hii nimeinunua Dodoma kwa binti mmoja anajiita Subira kwa maelezo yake anasema anaishi maeneo ya Makole lakini siku alipokuwa akiuza alinikuta maeneo ya ChakoniChako Bar, kwa kweli kanilamba takribani 45,000/= kwa paketi moja na niliwachukulia na wenzangu 2 kwa maana ya jumla ya paketi 3 na maelekezo ni kwamba dozi yake ni siku 3 kwa maana ya kijiko cha chai 1x1 kwa siku 3 tu kwa kunywea ktk kinywaji chochote, na matokeo yake yataanza kuonekana Massa 2 na kuendelea tangu kuanza kutumika. Cha ajabu na kusikitisha tangu tumeitumia zimepita siku 6 hakuna matokeo yoyote chanya zaidi tumetapeliwa na huyo Dada Subira akipigiwa simu japo atoe ufafanuzi tangu alipoelezwa tatizo hapokei simu na wala hajibu meseji jambo linaloashiria anafanya utapeli wa kukusanya hela za watu kwa kuuza dawa fake na huenda ikichunguzwa kiundani inaweza kuwa na madhara makubwa kwa matumizi ya binadamu. Chonde wenye tatizo kama langu chukueni tahadhali na dawa hiyo hususani na huyo Binti muuzajiView attachment 864987View attachment 864988
tafuta vumbi la kina defao na kina pepe kalee wa huko kongoSi dawa si chochote wauzaji wanaibia watu tu
Nina shida mkuu Ila nimetapiliwa na kibaya zaidi kumbuka nimesema dawa hii niliwanunulia na wenzangu 2 wenye tatizo kama langu, matokeo yake wote haijatusadia kitu chochote ukilinganisha na kiki za muuzaji kuwa inaanza kufanyakazi w.e.f ndani ya Massa 2 tangu kuanza kutumika. Sasa zimepita siku 6 wakati dozi yake ni siku 3 ngoma bilabilaKutokana na maelezo yako ni kuwa una shida umekunywa ili kutatua shida zako za kiume hapo nitakuelewa kuwa dawa haikufanya kazi. AU umekunywa na wewe huna shida tajwa lakini unategemea kupata matokeo fulani ambayo huwezi pata kama huna shida husika, hapo vipi?
Ina maana kusoma hujui? Mbn hapo nyuma kwenye hiyo package imeandikwa AMBO Production MBY -TZ?Hata yeye alisema inatoka Congo Mkuu!!!
Wangu alikuwa na msemo ukiibiwa na weweYaani watu mnakutana bar mnauziana hayo majani ya porini unaanza kulalama humu na post ndeefu.
Ukitapeliwa kausha ndo mwanzo wa kujanjaruka.