Mademu huwa wanaakir ya hivyo sijui kwann akisha mpiga chini jamaa yake wazani hata kama hawajaagana rasmi anataka we mpya ndio huwe unapokea hata simu za mpez Wa zaman, hapo atakupa story kibao kuhusu huyo Wa zaman Na we ukiunga mkono basi anatafta namna ya kumdhalilisha akiwa Na we mpya ,