lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,907
- 3,345
naye anatoka huko huko kwenkwa ni lemutuz ndo nani ?? embu nifaamisheni mm ninaetokea huko najilinji

aah! kumbe ni jirani asante kwa kunifahamishanaye anatoka huko huko kwen
inabidi nirudi hukuhuku niendelee kulima hili vijana wa dar wapate chakula waendelee kuishiRudi huko huko mkuu
Hahahaha.. Linapenda mineno mbofumbofu sana hilo lizee.. JPM akitoka madarakani lemutz atakuwa age sawa na umri wa sasa wa EL.. Lkn mawazo aliyonayo sasa ni ya akina Aslay. Ukiona mtu above 50years old anapost nyumba isiyokuwa madirisha na milango(haijakamilika),hana majukumu ya kifamilia na kujiona ndo kufanikiwa sana kwake..! Ni wakuogopa kama ukoma, hafai hata kidogo..(Nyerere voice)Ungeitamka kwa mdomo madhan km ningelikuwa ndani ningetoka hiyo"hiiiiiiiiiiiiiiiiii"
Naona kuna walakini sehemu. Inakuwaje mtu unashindwa kuendesha biashara yako kisa eti mtu mmoja? Huyo mwekezaji hakujipanga kabisaaa tuache kulaumu alipoangukia hebu alijikwaa wapi? Mtu anaweza akakushauri lakini sijui kama unaweza ukawekeza pesa kisha ukashindwa kuendesha kisa aliyekushauri hawezi. Labda kama hiyo ni biashara mbovu hata afanyeje asingweza au kama alimkabidhi kila kitu na jamaa katembee navyo. Lakini kama alimkabidhi aendeshe akashindwa why hajatafuta watu wengine? Wataalamu wapo kibao. Tatizo nao utajiri ukizidia huondoa maarifaLemutuz lilimdanganya Davis Mosha kuwa lenyew ni litaalamu sana la mambo ya media.
Na yeye kichwa kichwa akaingia kuagizia vifaa vya radio na TV kumbe jamaa hamna kitu.
Matokeo yake TV na radio zake amemuuzia mwarabu wa WCB Sallam ambaye yupo partner na skywalker na kuziita Dizzm TV na Dizzim FM
Sasa hivi Mosha na Lemutuziiiih ni paka na chui kabsa yaaani hawaendani
Mwarabu Fighter as Sallam sk??mwarabu wa WCB
Lemutuz lilimdanganya Davis Mosha kuwa lenyew ni litaalamu sana la mambo ya media.
Na yeye kichwa kichwa akaingia kuagizia vifaa vya radio na TV kumbe jamaa hamna kitu.
Matokeo yake TV na radio zake amemuuzia mwarabu wa WCB Sallam ambaye yupo partner na skywalker na kuziita Dizzm TV na Dizzim FM
Sasa hivi Mosha na Lemutuziiiih ni paka na chui kabsa yaaani hawaendani
wape vidonge- Kama ninavyosema siku zote uongo usipojibiwa na ukweli na mapema sana hugeuka kuwa ukweli, ukweli ni kwamba:-
1. Mimi na Davis Mosha bado ni wamiliki wa AST, tulifika mahali tukakubaliana kukodisha TV na Radio zetu kwa yoyote anayeweza kuiendesha na kutulipa kila mwisho wa mwezi.
2. Walitokea watu wengi waliotaka kukodisha, lakini kwa pamoja tukaamua kuwakodisha tunaowafahamua zaidi yaani DIZZM.
3. Mimi na my patner Mosha hatujawahi kugombana wala haitakuja kutokea kwa sababu tunazo biashara nyingi zaidi ya TV na Radio, infact kila jioni ya mwezi huu wa Ramadan Mosha ana tabia ya kuwaomba marafiki zake wote kufika nyumbani kwake kufuturu na huwa ninahudhuria sana.
- Hii chuki na wivu wa my lifstyle haikuanza leo najua kwamba haitaisha leo, kwa taarifa yako ni kwamba hata kwenye my Online TV & Radio Mosha yupo very much involved, poleni sana ndio mawazo ninayoyaita ya masikini ukiwazidi huwa kazi yao ni kuombea uanguke uwe kama wao....hahahahahahaha.....tafuteni lingine kwenye hili mmekosea sio ukweli kama mengine yote ambayo huwa mnahangaika nayo!
le Mutuz Superbrand
- Kama ninavyosema siku zote uongo usipojibiwa na ukweli na mapema sana hugeuka kuwa ukweli, ukweli ni kwamba:-
1. Mimi na Davis Mosha bado ni wamiliki wa AST, tulifika mahali tukakubaliana kukodisha TV na Radio zetu kwa yoyote anayeweza kuiendesha na kutulipa kila mwisho wa mwezi.
2. Walitokea watu wengi waliotaka kukodisha, lakini kwa pamoja tukaamua kuwakodisha tunaowafahamua zaidi yaani DIZZM.
3. Mimi na my patner Mosha hatujawahi kugombana wala haitakuja kutokea kwa sababu tunazo biashara nyingi zaidi ya TV na Radio, infact kila jioni ya mwezi huu wa Ramadan Mosha ana tabia ya kuwaomba marafiki zake wote kufika nyumbani kwake kufuturu na huwa ninahudhuria sana.
- Hii chuki na wivu wa my lifstyle haikuanza leo najua kwamba haitaisha leo, kwa taarifa yako ni kwamba hata kwenye my Online TV & Radio Mosha yupo very much involved, poleni sana ndio mawazo ninayoyaita ya masikini ukiwazidi huwa kazi yao ni kuombea uanguke uwe kama wao....hahahahahahaha.....tafuteni lingine kwenye hili mmekosea sio ukweli kama mengine yote ambayo huwa mnahangaika nayo!
Mungu shukhria sana(kanji's voice).. Babu ungetulia tu utuachie uwanja tucheze wenyewe wajukuu zako... Khaaaa...!- Kama ninavyosema siku zote uongo usipojibiwa na ukweli na mapema sana hugeuka kuwa ukweli, ukweli ni kwamba:-
1. Mimi na Davis Mosha bado ni wamiliki wa AST, tulifika mahali tukakubaliana kukodisha TV na Radio zetu kwa yoyote anayeweza kuiendesha na kutulipa kila mwisho wa mwezi.
2. Walitokea watu wengi waliotaka kukodisha, lakini kwa pamoja tukaamua kuwakodisha tunaowafahamua zaidi yaani DIZZM.
3. Mimi na my patner Mosha hatujawahi kugombana wala haitakuja kutokea kwa sababu tunazo biashara nyingi zaidi ya TV na Radio, infact kila jioni ya mwezi huu wa Ramadan Mosha ana tabia ya kuwaomba marafiki zake wote kufika nyumbani kwake kufuturu na huwa ninahudhuria sana.
- Hii chuki na wivu wa my lifstyle haikuanza leo najua kwamba haitaisha leo, kwa taarifa yako ni kwamba hata kwenye my Online TV & Radio Mosha yupo very much involved, poleni sana ndio mawazo ninayoyaita ya masikini ukiwazidi huwa kazi yao ni kuombea uanguke uwe kama wao....hahahahahahaha.....tafuteni lingine kwenye hili mmekosea sio ukweli kama mengine yote ambayo huwa mnahangaika nayo!
le Mutuz Superbrand
Mungu shukhria sana(kanji's voice).. Babu ungetulia tu utuachie uwanja tucheze wenyewe wajukuu zako... Khaaaa...!
Hisa zako 0.001% hata kikao chochote huingii wala hakuna faida yoyote kwa mwezi unaopata, na hakujawahi kuwa na radio au tv ya kukodishwa, huu upuuzi wadanganye mabaa maid unaowada ganya utawapa kazi ili uwalale.- Kama ninavyosema siku zote uongo usipojibiwa na ukweli na mapema sana hugeuka kuwa ukweli, ukweli ni kwamba:-
1. Mimi na Davis Mosha bado ni wamiliki wa AST, tulifika mahali tukakubaliana kwamba ili kupata faida KUBWA kuliko tuliyokuwa tunapata ni bora kukodisha TV na Radio zetu kwa yoyote anayeweza kuiendesha na kutulipa kila mwisho wa mwezi.
2. Walitokea watu wengi waliotaka kukodisha, lakini kwa pamoja tukaamua kuwakodisha tunaowafahamua zaidi yaani DIZZM.
3. Mimi na my patner Mosha hatujawahi kugombana wala haitakuja kutokea kwa sababu tunazo biashara nyingi zaidi ya TV na Radio, infact kila jioni ya mwezi huu wa Ramadan Mosha ana tabia ya kuwaomba marafiki zake wote kufika nyumbani kwake kufuturu na huwa ninahudhuria sana.
- Hii chuki na wivu wa my lifstyle haikuanza leo najua kwamba haitaisha leo, kwa taarifa yako ni kwamba hata kwenye my Online TV & Radio Mosha yupo very much involved, poleni sana ndio mawazo ninayoyaita ya masikini ukiwazidi huwa kazi yao ni kuombea uanguke uwe kama wao....hahahahahahaha.....tafuteni lingine kwenye hili mmekosea sio ukweli kama mengine yote ambayo huwa mnahangaika nayo!
- Otheriwse, ninawashukuru sana kwa free media covarage maana siamini mpaka leo 2018 bado Brand yangu "Le Mutuz Superbrand" ina nguvu ya kupata page 11 hata bila mimi mwenyewe kuwepo, nilikua busy sana ndio maana sikuwepo.
- Nilisafiri Cape Town/SA nilialikwa na Cape Town International Jazz Festival kwenye maonyesho yao ya Dunia ya kila mwaka, niliporudi nilisaifiri kikazi Mbeya, Mwanza, Mbeya nikarudi Mwanza tena na majuzi nilikua Dodoma, ndio maana sikuwepo hapa muda mrefu sana ila sasa nipo Dar.
le Mutuz Superbrand
Hisa zako 0.001% hata kikao chochote huingii wala hakuna faida yoyote kwa mwezi unaopata, na hakujawahi kuwa na radio au tv ya kukodishwa, huu upuuzi wadanganye mabaa maid unaowada ganya utawapa kazi ili uwalale.
Vipi le mbebez mobimba Nnye Nnye nyee Super lemutindzzz bado haja fika tuu?
Le Tumbozi , Le Kibamiaz- Kama kawa kazi kazi U know hahahahahaha tayari nimeshapewa leseni ya TCRA sasa ni kazi tu!
le Mutuz
le mutuz tatizo lako ni maneno mengiiiii vitendo sifuri... Huna lolote laiti ungekuwa una pesa the way unavyojishow off dunia nzima ingejua. Yaani kuwa na kimradi cha 5ml basi unajiona booonge la akili kubwa hahahahaaha..unayoyafanya sasa yalishafanywa kitambo sana tena na vijana wa under 30 wa sasa... Eti kula five star (double tree, southern sun) nako ni ujanja.hahaaha Tuliozitoa bikra (kwa kula na kulala kwa mara ya kwanza wakati zinafunguliwa) tusemeje...? Tumewaachia ninyi mnaokuwa kiumri kurudi nyuma na sio kwenda mbele..wakati sisi tunaziona ni kama Delux ya sinza kijiweni hahahahahaha naaafwaaz- hahahahahahaha mkibanwa na ukweli huwa mnageuza gia angani na maneno ya kitoto kama haya, unasema kuna umri wa kutafuta pesa? hahahahahahahhaa poleni sana mnatia huruma sana hahahahahhaa
le Mutuz Superbrand
le mutuz tatizo lako ni maneno mengiiiii vitendo sifuri... Huna lolote laiti ungekuwa una pesa the way unavyojishow off dunia nzima ingejua. Yaani kuwa na kimradi cha 5ml basi unajiona booonge la akili kubwa hahahahaaha..unayoyafanya sasa yalishafanywa kitambo sana tena na vijana wa under 30 wa sasa... Eti kula five star (double tree, southern sun) nako ni ujanja.hahaaha Tuliozitoa bikra (kwa kula na kulala kwa mara ya kwanza wakati zinafunguliwa) tusemeje...? Tumewaachia ninyi mnaokuwa kiumri kurudi nyuma na sio kwenda mbele..wakati sisi tunaziona ni kama Delux ya sinza kijiweni hahahahahaha naaafwaaz