Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Ona hili Jinga. Embu angalia agemates zako wakina Mengi TV na radio stations zao halafu compare na hiyo camera na laptop (unayoita studio ya online TV) unayomiliki

- ni kweli umri wangu sawa na Mzee Mengi, lakini na yeye bado anatafuta pesa kama mimi sijaujua kosa langu ni lipi mkuu? Kuwa na miaka 70 au kutafuta pesa kihalali? hahahahahahaha

le Mutuz
 
Jin

Jinga sana hilo linajiona jaja wakati nalifahamu vizuri tu..linapenda sifa sana na hayo matangazo linayopost kwenye IG zake mengi ni ya kujipendekeza linafanya bure na kuambulia ofa za msosi tu..

- Sasa mkuu kama unayoyasema ni kweli ninalipaje kodi za nyumba yangu na ofisi? Ninbawalipaje wafanyakazi wangu? Nimelipiaje hizi leseni? Ongea kama umeendaa shule hata kama ni Chuki kubali kwamba wewe huwezi kupoteza muda na mtu unayemzidi, ninakuzidi kimaisha ndio maana unanifuatilia au? hahahahahahaha

le Mutuz Superbrand
 
mda utaongea tuu siku zote uendi against na past tutaona majigambo yako yataishia wapi babu yetu

- Mbona haya mambo yapo miaka na miaka sasa ninatabiriwa kuharibikiwa lakini nipo nipo, walisema ngoja JK aondoke, sasa wanasema ngoja JPM aondoke, jamani lini mtafanikiwa na hizo tabiri zenu za kishetani? hahahahahaha

le Mutuz Superbrand
 
- Mbona haya mambo yapo miaka na miaka sasa ninatabiriwa kuharibikiwa lakini nipo nipo, walisema ngoja JK aondoke, sasa wanasema ngoja JPM aondoke, jamani lini mtafanikiwa na hizo tabiri zenu za kishetani? hahahahahaha

le Mutuz Superbrand
Soma harama za nyakati Giza likizidi ujue kunapambazuka!!!
!!!!MARK MY WORD!!!!
 
- Kama ninavyosema siku zote uongo usipojibiwa na ukweli na mapema sana hugeuka kuwa ukweli, ukweli ni kwamba:-

1. Mimi na Davis Mosha bado ni wamiliki wa AST, tulifika mahali tukakubaliana kwamba ili kupata faida KUBWA kuliko tuliyokuwa tunapata ni bora kukodisha TV na Radio zetu kwa yoyote anayeweza kuiendesha na kutulipa kila mwisho wa mwezi.

2. Walitokea watu wengi waliotaka kukodisha, lakini kwa pamoja tukaamua kuwakodisha tunaowafahamua zaidi yaani DIZZM.

3. Mimi na my patner Mosha hatujawahi kugombana wala haitakuja kutokea kwa sababu tunazo biashara nyingi zaidi ya TV na Radio, infact kila jioni ya mwezi huu wa Ramadan Mosha ana tabia ya kuwaomba marafiki zake wote kufika nyumbani kwake kufuturu na huwa ninahudhuria sana.

- Hii chuki na wivu wa my lifstyle haikuanza leo najua kwamba haitaisha leo, kwa taarifa yako ni kwamba hata kwenye my Online TV & Radio Mosha yupo very much involved, poleni sana ndio mawazo ninayoyaita ya masikini ukiwazidi huwa kazi yao ni kuombea uanguke uwe kama wao....hahahahahahaha.....tafuteni lingine kwenye hili mmekosea sio ukweli kama mengine yote ambayo huwa mnahangaika nayo!

- Otheriwse, ninawashukuru sana kwa free media coverage maana siamini mpaka leo 2018 bado Brand yangu "Le Mutuz Superbrand" ina nguvu ya kupata page 11 hata bila mimi mwenyewe kuwepo, nilikua busy sana ndio maana sikuwepo.

- Nilisafiri Cape Town/SA nilialikwa na Cape Town International Jazz Festival kwenye maonyesho yao ya Dunia ya kila mwaka, niliporudi nilisaifiri kikazi Mbeya, Mwanza, Mbeya nikarudi Mwanza tena na majuzi nilikua Dodoma, ndio maana sikuwepo hapa muda mrefu sana ila sasa nipo Dar.

le Mutuz Superbrand
Nina wasiwasi na haya majibu yako maana yanaonekana kuwa ya uongo.
Yaani unasema umekodisha Tv station kwa watu wengine alafu wakulipe mwisho wa mwezi?? Sijawahi kuona that kind of a business...
Labda kama utasema umekodisha vifaa na Jengo.
Alafu how come kama ASTV ina exist mbona mmiliki amebadili jina na kuita DIZZIM TV(which is another brand)? Kwa nini haikuendelea kuitwa ASTV?
Kuwa mkweli tu kuwa pengine ASTV haipo kwa sasa na uenda itakuwepo mbeleni...
 
Nina wasiwasi na haya majibu yako maana yanaonekana kuwa ya uongo.
Yaani unasema umekodisha Tv station kwa watu wengine alafu wakulipe mwisho wa mwezi?? Sijawahi kuona that kind of a business...
Labda kama utasema umekodisha vifaa na Jengo.
Alafu how come kama ASTV ina exist mbona mmiliki amebadili jina na kuita DIZZIM TV(which is another brand)? Kwa nini haikuendelea kuitwa ASTV?
Kuwa mkweli tu kuwa pengine ASTV haipo kwa sasa na uenda itakuwepo mbeleni...

- Well, naomba utafute mahali ambapo Dizzm wametangaza kununua AST ukionaiweke hapa then nitakuwa ninasema uongo, nimekuambia nenda Brela utapata ukweli kama Dizzm wamenunua maana pale ndipo ukweli ulipo.

le Mutuz Superbrand
 
Hahaha bila kapicha ka contract hizo ni blah blah tu

- No way nenda Breal utayaona yote, Dizzm wanasoma hapa kama ninayoyasema ni uongo si watasema au wangeshasema, unajua Vijana wa kiume kuwa na umbeya kiasi hiki inasikitisha sana duh!

le Mutuz Superbrand
 
Back
Top Bottom