Da'Vinci meres about the future: Je, yajaayo yanafurahisha?

Da'Vinci meres about the future: Je, yajaayo yanafurahisha?

Una uhakika kuwa mashoga watapungua? Fanya research mkuu! Chunguza % kubwa ya machoko hapa bongo ni wa dini gani utapata jibu
sawa Mkuu ingawa naona unataka kuwasha moto.
 
ondoa hofu maana waisilamu kwa sasa wanaelimika kuliko huko nyuma, hivyo idadi ya wake na watoto inapungua.
 
unadhani kuanda story ndefu kama za the bold anaziandika hapa jf? Ukitumia ms word in rahisi ku edit mwisho wa siku unapata story nzuri
Pole Sana ndugu.. But it's good to have different thoughts...
But nimetumia karibia wiki 2 kuandika hiki..
Kidogokidogo nikipata muda
 
ondoa hofu maana waisilamu kwa sasa wanaelimika kuliko huko nyuma, hivyo idadi ya wake na watoto inapungua.
Ni kweli kwa hilo now wanajitahid ila wale wafia dini uchwala ndio bado wanashida
 
Kwa akili zangu za usiku miaka michache baada ya mwaka 2025 dunia itachafuka sana.
Kile kipindi cha miaka 7 ya "shibe" kitakuwa kinaingia ukingoni, ambapo itatanguliwa na Rais wa Marekani ambaye atakuwa maarufu sana kama John Kenedy kutawala kwa muhula mmoja, baada ya hapo ni civil war in America.

Na baada ya mwaka 2063, dunia itaingia kwenye era nyingine kabisa.
Era ambayo imesubiriwa kwa muda mrefu sana.

Ni akili zangu tu za usiku.
Ila mwanangu maneno haya yatunze sana, yana hekima nzito ndani yake.

Tuyatunze mpaka 2063?
 
Hongera kwa kufikiri miaka 100 ijayo safi sana. Yawezekana pia kuna kundi la wapagani ambalo haliamini chochote linaongezeka kwa kasi
....halafu nimekuja kugundua kitu kuhusu hao tunaowaita wapagani mkuu ni watu wema,wastaarabu,werevu,wavumilivu,wakarimu na wana akili nyingi kuliko sisi wafia dini na hasa hizi za ukristo na uislam
 
Ni kweli kwa hilo now wanajitahid ila wale wafia dini uchwala ndio bado wanashida
Hakuna cha wafia dini,suala la polygamy ni kanuni ya maumbile ya mwanadamu 75% wana practice hii kitu wakiwemo wote waislam na wakristo,mtu ana mke mmoja nje ana madem 3, after all uislam unaenea Kwa factor zingine suala la wake wengi ni factor ndogo Sana Ila walio against Islam wanahisi hyo ndio sababu kubwa
 
Upo sahihi na wanatoa misaada sana.

Kuna mmoja aliwahi kuniuliza haendi kanisani anajitahidi kusaidia wenye mahitaji muhimu kama madawa pamoja na kuwasomesha watoto ambao wazazi wameshindwa kuwapeleka shule na amejiwekea utaratibu huo miaka na miaka. Akaniuliza wewe japokuwa una kipato kidogo umewahi kufanya nini nikabaki najiumauma
....halafu nimekuja kugundua kitu kuhusu hao tunaowaita wapagani mkuu ni watu wema,wastaarabu,werevu,wavumilivu,wakarimu na wana akili nyingi kuliko sisi wafia dini na hasa hizi za ukristo na uislam
 
Mkuu Da'Vinci Hongera kwa kuleta Mada fikirishi, ila nadhani swala la waislamu kuoa wake zaidi ya mmoja si ishara tosha kwamba waislamu watakuwa wengi kuliko wakristu.. kwanini?

Kwa mkondo wa maisha Jinsi ulivyo ni ngumu waislamu kuoa mke zaidi ya mmoja hasa kutokana na swala la uchumi..

Pili waislamu walioa wake wawili au zaidi kipindi masuala ya women empowerment hayajashika kasi.. kwa jinsi wanawake walivyo sasa ni ngumu sana kwa mwanamke kuridhia mke mwenza ndani.. ukimleta wa pili umempoteza wa kwanza..

Tatu..Wakristu watazaliana sana hasa kwa sababu si lazima ndoa ili wakristu wazaliane.. kumbuka si wote wataoa au kuolewa..

Divine Khan
Ndugu ktk swala la kuoa wake wanne hamna mambo ya women empowerment.. Ile ni amri ya mungu na sisi hatujaambiwa tuwaombe ruhusa ya cc kuoa.. Tumeambiwa tuwajuulishe tu.. So jarb tena
 
Back
Top Bottom