hassandilunga
Senior Member
- Mar 17, 2020
- 146
- 151
- Thread starter
-
- #21
Mziki Collabo Bro. Huwezi kujulikana nje ya Afrika bila mikolabo kama hiyo.Tatizo ya hizi collabo msanii wa juu sana anapofanya collabo na msanii aliyempiga gepu kubwa huwa hazi hit, wasanii wa Africa wamefanya collabo na wasanii wengi wa marekani ila inabaki kukumbukwa tu msanii Fulani aliimba na msanii mkubwa wa marekani.
Collabo safi wote angalau msipishane sana umaarufu,mfano mfalme wa mziki Tz alipokutana na msanii Innos B ambaye pia anatamba Congo kazi ya yope ikawa fresh na ina views zaidi ya mia.
Sasa matawi ya juu wakikutana na wa chini yao sana huwa wanafanya kazi kama hawapendi hivi, matokeo yake inabaki tu historia
Kwenye Nini kipaji au mziki wao?Kwa mtazamo wako Davido na Wizzy nani zaidi???
Kwenye kipaji, na mziki waoKwenye Nini kipaji au mziki wao?
😄 😄 😄 😄 😄 daahh!Kama hupumui vizuri, unapiga chafya, mafua nyakati za usiku, hiyo sio Corona, hufui blanket.
Fall,If
Haaahii kauli ingetolewa na msanii wetu pendwa, mtoto wa Abdul na Sandra, Mtandale OG Platnumz, wakina Robidinyo na wale wenzake wa lile group la spartcus the mnyama mkali wangesikika wakisema anatafuta kiki...
na wangeongeza ni baada ya ile ya kulipa pango kaya jero kubuma...
anyway kongole davido
Kama kuna. Kaukweli hivi unaikumbuka ayeIssue sio tu kufanya ngoma na msanii wa Marekani je hiyo ngoma Ni Kali? ngoma aliyofanya na Chris ilikuwa ya kawaida binafsi naonanaga ngoma akifanyaga ya Pekee yake inakuwa Kali Sana mfano " If ", " fall " tofauti akifanya na USA artists na nyimbo anazofanya na USA hazimpi Mafanikio Kama aliyopata kwenye ngoma zake za pekee yake.
Fall,IfKama kuna. Kaukweli hivi unaikumbuka aye
Saana...Mana anajua hasimu wake anakuja na fullAlbum...
Sasa hadi Davido anapost kwa I.G yake basi mzigo unakuja..Minaj si kastaafu mziki lkn
Still Davido bn mqareeeehSaana...Mana anajua hasimu wake anakuja na fullAlbum...
Challenge yao hatari na inafaida kwa Muziki wa Nigeria
Wiz pia hatar ndugu. Jaribu kumfuatilia
Kwa Davido anasubir kidogoWiz pia hatar ndugu. Jaribu kumfuatilia
Siamini Wizy tatizo lile...
Hili nimeliona pia kwa Christian Bella. Ungetarajia collabo na Kofi Olomide ingekuwa fire, lakini haikupata kuwa hivyoIssue sio tu kufanya ngoma na msanii wa Marekani je hiyo ngoma Ni Kali? ngoma aliyofanya na Chris ilikuwa ya kawaida binafsi naonanaga ngoma akifanyaga ya Pekee yake inakuwa Kali Sana mfano " If ", " fall " tofauti akifanya na USA artists na nyimbo anazofanya na USA hazimpi Mafanikio Kama aliyopata kwenye ngoma zake za pekee yake.