David Kafulila ndani ya kipindi cha Dakika 45, ITV

Kwa nini watanzania hawaoni haya madudu ya ccm tuwaondoe haraka sana.
Kafulila ameivua serikali ya CCM nguo na kuiacha uchi wa mnyama, ni aibu kubwa kwa serikali hii, watanzania tujifunze kukinai, ccm wanatupeleka kubaya, tusipochukua hatua tutakufa maskini na kwa mungu tutaadhibiwa kwa kukubali kudhulumiwa na kakikundi ka wahuni wachache
 
Mh kafulila amesema Ukawa wakishindwa kuing'oa ccm kwenye uchaguzi huu itawachukuwa miaka mingine mingi kufanya hivyo
Amesema kwa sasa ccm haina mtu mwenye sauti ya kuzunguka nchi kama miaka ya 95 alivyofanya mwalimu nyerere kumnadi mkapa ingali joto la uchaguzi huu lipo juu kama la miaka ile ya 95
Ameendelea kusisitiza ccm kwa sasa ulaya na marekani hawana tena imani nao Hata misikitini na makanisani kwahiyo kwa hayo machache Ukawa inakila sababu ya kushinda uchaguzi wa 2015
 
Kwa nini watanzania hawaoni haya madudu ya ccm tuwaondoe haraka sana.

Amehitisha vizuti sana kwamba safari hii ukawa wana kika sababu ya kushinda uchaguzi wa October na akatoa sababu nzuri sana kwa sabsbu zifuatazo:ccm sasa hawakubaliki msikitini wala makanisani,hali ya maisha imezidi kuwa ngumu chini ya utawala wa ccm,ccm haina mgombea makini anayekubslika,ccm hivi sasa hawana mtu mwenye nguvu ya kumnadi mgombea kama alivyokuwa Nyerere alipomnadi Mkapa na sababu nyingine nyingi.
 
Wataisoma safari hiii yaaani nchi IPO corrupt bado mi ccm unataka kugombea tena bora wakae pemben
 
Kijana is very bright, though amekiri wenye dola wakiamua kumpoteza hakuna wa kuzuia, dah nilitamani kipindi kisiishe kwani nilikuwa silijui hili la mabati fake zaidi ya tani 15 yaliyoingizwa nchini na vigogo, sakata la mabehewa fake ambalo lilipelekea waziri wa uchukuzi kubadilishwa though kaingia waziri mpya mabehewa mengine fake yameingia kwa mara nyingine.
Nilichopenda zaidi ni kwenye conclusion kwamba kwa sasa CCM haikubaliki msikitini wala makanisani, hivyo UKAWA wana kila sababu ya kuchukua nchi sasa wakishindwa basi itawachukua miaka mingi sana kuwabwaga hawa jamaa.
 
hata kafulila aliwahi kupigwa vita na chadema lakini leo wanafanya kazi kwa pamoja katika siasa adui yako leo ni rafiki yako kesho vijana tunaongozwa na hisia za kijinga kuliko uhalisia, naamini wenyeviti wote wa vyama siasa wanamatatizo na ndiyo maana vyama vyote vina mgogoro
 
Kijana is very bright, though amekiri wenye dola wakiamua kumpoteza hakuna wa kuzuia, dah nilitamani kipindi kisiishe kwani nilikuwa silijui hili la mabati fake zaidi ya tani 15 yaliyoingizwa nchini na vigogo, sakata la mabehewa fake ambalo lilipelekea waziri wa uchukuzi kubadilishwa though kaingia waziri mpya mabehewa mengine fake yameingia kwa mara nyingine.
Nilichopenda zaidi ni kwenye conclusion kwamba kwa sasa CCM haikubaliki msikitini wala makanisani, hivyo UKAWA wana kila sababu ya kuchukua nchi sasa wakishindwa basi itawachukua miaka mingi sana kuwabwaga hawa jamaa.
Mabati feki ni tani 100,000 ila yalioharibiwa ni tan 15 tu.

Huo ndio usahihi wa alichokisema

Kanifurahisha aliposema CCM haikubali msikitina wala kanisani.Nimecheka sana.
 
KAFULILA awe na msimamo huohuo sio kama wa msakatonge 'A.KHUMENI'japo sio wa jimbo lake lakini namuombea kwa MUNGU october nimuone mjengoni.ndo vifaa tunavyovihitaji kwenye siasa ya leo.angalizo asinunuliwe na magamba kama mwandiga boy
 
Kijana is very bright, though amekiri wenye dola wakiamua kumpoteza hakuna wa kuzuia, dah nilitamani kipindi kisiishe kwani nilikuwa silijui hili la mabati fake zaidi ya tani 15 yaliyoingizwa nchini na vigogo, sakata la mabehewa fake ambalo lilipelekea waziri wa uchukuzi kubadilishwa though kaingia waziri mpya mabehewa mengine fake yameingia kwa mara nyingine.
Nilichopenda zaidi ni kwenye conclusion kwamba kwa sasa CCM haikubaliki msikitini wala makanisani, hivyo UKAWA wana kila sababu ya kuchukua nchi sasa wakishindwa basi itawachukua miaka mingi sana kuwabwaga hawa jamaa.

haaaaa bila kukazania inshu ya tume huru ya uchaguzi sijuiiiii
 
Back
Top Bottom