Mtanzania Tajiri
JF-Expert Member
- Aug 31, 2024
- 375
- 378
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 na kufafanua kuwa biashara ya kuuza na kununua nje imekuwa Kwa zaidi ya 84% Kwa mujibu wa taarifa za benki kuu ya Tanzania BOT Kwa kipindi hiki k cha mika minne (4)
Tukitathimini Utawala wa miaka hii minne wa Rais Samia Suluhu Hassan Kafulila anasema namnukuu "kubwa kabisa kwenye biashara ni kuchangamka na kuongezeka kwa biashara ya kuuza na kununua nje"
Vile vile Mkurugenzi huyo amenukuliwa na chombo hicho akisema kuwa wakati Rais Samia anaingia madarakani biashara ya kuuza na kununua nje ilikuwa na thamani ya dola za kimarekani bilioni 17 ($17bn) au Shilingi trillion 42 wakati leo thamani ya biashara hiyo hiyo ya kuuza na kununua nje huduma na bidhaa imefikia dola za kimarekani bilioni 32 ($32bn) au Shilingi trillion 80 sawa na ongezeko la 84% karibu mara mbili,
Mkurugenzi David Kafulila anasema ongezeko hilo la biashara ya kuuza na kununua nje tayari limetengeneza ajira nyingi, fedha za kigeni pamoja na kukuza vipato vya Mtanzania mmoja mmoja kwenye mnyonyororo mzima wa ukuzaji wa thamani ya bidhaa zetu pamoja na biashara ya nje,
==
===

David Kafulila anasema biashara ya Tanzania duniani ya kuuza na kununua nje bidhaa na huduma inakua kwa Kasi sana Watanzania tuchangamkie fursa wakati ni huu wa Mama Samia.
=====