Baba Clara
Member
- May 10, 2011
- 94
- 27
CHADEMA ndiyo CCM A.Hawana lolote,CCM 'C' hao na makanjanja wa kisiasa.
Kila binadamu anamapungufu yake, Kafulila kasamehewa baada ya kukiri makosa yake, Mungu amuongoze katika safari yake mpya.Kwani wakati wanamfukuza walijua wanaimarisha chama? Kama kuna msamaha wa kweli bila shaka Kafulila ataiondoa kesi mahakamani.
Ndiyo maana wapinzani hatufiki mbali hatupendi kuona wenzetu wamefanya kitu kizuri si tunaponda tu, kama ni ndoa basi ni ndoa na Wananchi ili kutimiza malengo ya watz.Wanaandaa Ndoa Imara ya Mume aliyebobea katika mitala baada ya kusikia kipenga kimepulizwa na Tendwa!
Chama chenyewe ni NCCR-mageuzi.Chama cha upinzani kipo kimoja tu!!! Ukifukuzwa hata uombe msamaha hurudi. Shoza na Yule mwizi wa simu wanakijua hicho chama
Hahahahahaa. Baba Clara..!! haya hongera yenuChama chenyewe ni NCCR-mageuzi.
Nimesikia katika uchambuzi wa magazeti ya leo startv kuwa Katibu Mkuu wa chama cha NCCR-mageuzi Samwel Ruhuza wamemsamehe Mbunge david Kafulila ili kuimarisha chama na kuepuka jimbo kupotea.
Kazi imeanza yaani ninyi ni zaidi ya CHADEMA.Nimesikia katika uchambuzi wa magazeti ya leo startv kuwa Katibu Mkuu wa chama cha NCCR-mageuzi Samwel Ruhuza wamemsamehe Mbunge david Kafulila ili kuimarisha chama na kuepuka jimbo kupotea.Chanzo: Magazeti ya leo asubuhi (Star tv)
Kila binadamu anamapungufu yake, Kafulila kasamehewa baada ya kukiri makosa yake, Mungu amuongoze katika safari yake mpya.
Ndiyo maana wapinzani hatufiki mbali hatupendi kuona wenzetu wamefanya kitu kizuri si tunaponda tu, kama ni ndoa basi ni ndoa na Wananchi ili kutimiza malengo ya watz.
Chama chenyewe ni NCCR-mageuzi.