David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA. Apoteza imani na upinzani katika kupambana na ufisadi

Siku ya Mbowe kuachia uenyekiti wa kudumu ndipo upinzani sahihi utapatikana
Acheni kujipotosha vitu vingine muwe mnajiongeza mpeni Lissu uenyekiti au Lema haiwezekani Mbowe tu na siku Lissu au Lema watakapojitoa chadema utakuwa ndio mwisho wake
Chadema ya sasa sio Ile ya 2009
Chadema ya wakati huo ilikuwa inaibua vipaji vingi tu na sio hii ya leo inayotegemea watu watoke ccm waje cdm
kasuku mwingine kutoka kwenye chama cha manunuzi
 
Back
Top Bottom