Alikua akidengua ili abembelezwe ndio ataje,..sasa alikuwa anaogopa nini kusema anahamia CCM?
..hata Lau Masha naye ilikuwa hivyohivyo.
..mtu anaulizwa zaidi ya mara 5 kama anahamia ccm lakini anakwepa kujibu.
..ni kama watu wanaona aibu kwa maamuzi yao.
Mpaka raha mkuuChagadema kwisha
mkuu huyu mtu lazima abezwehongera zake ni haki yake, nasisitiza, asibezwe, ana hoja za msingi.
Paskali
Mtu anaulizwa mara mbili mbili unaenda sisiem anajikanyaga kanyaga ni dhahiri hawajiamini na maamuzi yao...sasa alikuwa anaogopa nini kusema anahamia CCM?
..hata Lau Masha naye ilikuwa hivyohivyo.
..mtu anaulizwa zaidi ya mara 5 kama anahamia ccm lakini anakwepa kujibu.
..ni kama watu wanaona aibu kwa maamuzi yao.
Mda sio mrefu atapewa keki yake wakuu