David Cameron kiongozi wa taifa la Uingereza taifa lenye uchumi wa tano kwa ukubwa duniani amemnunulia mke wake gari iliyotumika (used) aina ya Nissan micro yenye dhamani ya dola 2000 kwa ajili ya matumizi yake.
Tunajifunza nini hapo waafrika na viongozi wetu?
Tunajifunza kuwa nidhamu ya uongozi na uaminifu wanajali sana wenzetu.
Teh teh teh teh hapo hakuna cha kujifunza kwa mTZ, akipata ka 50milioni tu anakimbilia Vx ili aonekane na yy anazo, kwake anaishi nyumba ya kupanga,kazi ya kuajiriwa, mlo mmoja kwa siku😀