David Beckham yupo Tanzania

David Beckham alikuwaga siku hizi bora samagoal
 
Hapa ndiyo serikali yetu upande wa utalii inapofail, ingekua wenzetu Kenya mtu kama Beckham wangetangaza ujio wake kwa kiasi kikubwa.
  • Vile vituko vya Kenya havifanywi na serikari bali hufanywa na wananchi, hivyo usizilaumu serikari za Tanzania tu laumu na wananchi (mtanzania mojamoja) kwa kutojibidiisha kuitangaza nchi yetu mithili ya Wakenya
 
Hii ni mara yake ya pill Tanzania naona ameipenda sana.
 
Kwani alitoa taarifa kama anakuja ?
 
USHAURI MZURI SANA! [emoji109]
 
TANZANIA TUMEZUBAA TUNASUBIRI WAKENYA WAPOST KUWA ALIKUWA KWAO NDO TUJIFANYE tuna mind
 
Beckham ni celebrity,yawezekana anaweza kuwapa masharti wenyeji wake kutotangazwa,kwasababu ya kibiashara otherwise pay him ili ujio wake uwe kama kivutio kwa wengine
 
itakuwa ni kuingilia privacy ya mgeni, labda mwenyewe akubaliane na hilo
 
Babie Kabae wa Clouds Tv ana weledi na uwezo mkubwa wa kufanya interview, hasa kwa kizungu. Niliona coverage yake na Rais wa World Bank, she's superb.
 
Babie Kabae wa Clouds Tv ana weledi na uwezo mkubwa wa kufanya interview, hasa kwa kizungu. Niliona coverage yake na Rais wa World Bank, she's superb.

Yule Rasta noma saaana!kwa sasa ndio anaiokoa ofisi yake kwa hard talk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…