sidhani kama atafanikiwa sana katka filamu,nikisema kufanikiwa nina maana ya kuingia mikataba na makamouni makubwa ya hollywood na pia madirector wa kueleweka,kuna mifano ya watu wengi maarufu wamejaribu hii fani imewashinda mfano ni 50 cent,jlo,ja rule,queen latifa na wengine wengi tu,ili kujua gani ni ngumu na sio rahisii km tunavyodhani angalieni hata ktk tuzo kubwa kubwa ni lini mumemuona van damme,rambo na wengine kibao tu wanaishia kucheza lkn hwafikii pale panapohitajika hasa,jackie bawa kama sio 24 hrs alishapotea kwenye hii fani na hata baada ya 24 amefurukuta kwenye mirror na haijafanya vizuri,akaja na min series inaitwa confession nayo haikuhit ki hivyo.....hii habari tuwaachie denzel,kaprio,matt damon,morgan freeman,jamie fox,sandra bullock,tom cruz wengine mnaojua movie mtajazia,beckham ajaribu ila panapomfaa ni kwenye mitindo.