Dauda anaruhusiwa kuendesha biashara ya vifaa vya michezo?

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
967
1,693
Baada ya hukumu ya mchambuzi nguli wa masuala ya soka na michezo Tanzania Bw Shafii Dauda Al Maarufu Kama Digala kua amefungiwa kujihusisha na masula ya michezo kwa muda wa miaka mitano kutoka kwa TFF.

Wote tunafahamu kua Shafii Dauda ana miliki maduka ya Vifaa vya michezo DAUDA SPORTS WEAR.

Sasa je licha ya kufungiwa kujihusisha na masula ya michezi Dauda anaruhusiwa kuendesha bishara ya vifaa vya michezo?

images%20(3).jpg
 
Washabiki uelewa wao mdogo Sana kuhusu hili suala..wanadhani ndio atacha kupost, kwenda uwanjani au kufunga duka etc..kufungiwa kwa dauda ni katika nafasi za utendaji wa shughuli za soka alizokuwa anafanya ktk TFF , mkoa wa dar es salaam etc.

Mambo mengine yote yaliyosalia ataendelea Kama kawaida kwenye redio,mitandaoni na biashara zake..ndio maana wachambuzi wengi wanamwambia saiv atakuwa huru zaidi tofauti na mwanzo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya hukumu ya mchambuzi nguli wa masuala ya soka na michezo Tanzania Bw Shafii Dauda Al Maarufu Kama Digala kua amefungiwa kujihusisha na masula ya michezo kwa muda wa miaka mitano kutoka kwa TFF..
Hahaaaaa!!kweli Tz tuna safari ndefu sana, tena umbali wake ni zaidi ya ule wa kwenda ktk sayari ya MARS!!!eti head hii ndio uiambie mambo ya katiba mpya si unaipasua kabisa!!
 
Baada ya hukumu ya mchambuzi nguli wa masuala ya soka na michezo Tanzania Bw Shafii Dauda Al Maarufu Kama Digala kua amefungiwa kujihusisha na masula ya michezo kwa muda wa miaka mitano kutoka kwa TFF

Wote tunafahamu kua Shafii Dauda ana miliki maduka ya Vifaa vya michezo DAUDA SPORTS WEAR
Sasa je licha ya kufungiwa kujihusisha na masula ya michezi Dauda anaruhusiwa kuendesha bishara ya vifaa vya michezo ? View attachment 2122315
Hivi mkuu uko serious kweli na ulichokiandika,? Au umeamua kufurahisha tu wadau hapa??
 
Shida ya waTanzania wengi ni wajuaji sana !
Kufikiria kua unacho jua wewe basi mwingine asipo kijua ni mjinga hiyo pia na dalili ya ujinga ..

Swali ni je dauda ana ruhusiwa kuendelea kufanya biashara za vifaa vya michezo licha ya kugungiwa ?
Yes inawezekana kwako ni swali la kijinga lakini kuto kujua kwa mtu mwingine kwenye hilo haku halalishi kua anae uliza ni mpumbavu!
Unaweza kumjibu mjibu ajue huwezi acha!
Kuuliza swali kuna kua na mahitaji mengi

Inawezekana kweli anae uliza hajui na anataka kujua mjukishe hutaki acha!..
Au ana jua na hana uhakika ila anataka justification mpe justification huwezi acha!

Pia anaweza kawa anauliza kwa faida ya watu wengine sababu kujua seria kama hizi hakuwezi kua kitu common sana kuna maambo mtu asipo jua ni ya kumshangaa eg kumjua Raisi wa nchi etc..

Mtu anaulizwa mambo ya soka anaanza kuleta mambo ya katiba bro upo sawa kweli?
Yanatuhusu nini?

PUNGUZENI KUJIFANYA MNAJUA KAMA, SWALI UNAONA LA KIJINGA NA LIKO OBVIOUS PITA TU SIO LAZIMA UJE KUJIONESHA KUA UNAJUA SANA KUMBE BOGUS TU!.
 
Washabiki uelewa wao mdogo Sana kuhusu hili suala..wanadhani ndio atacha kupost, kwenda uwanjani au kufunga duka etc..kufungiwa kwa dauda ni katika nafasi za utendaji wa shughuli za soka alizokuwa anafanya ktk TFF , mkoa wa dar es salaam etc.

Mambo mengine yote yaliyosalia ataendelea Kama kawaida kwenye redio,mitandaoni na biashara zake..ndio maana wachambuzi wengi wanamwambia saiv atakuwa huru zaidi tofauti na mwanzo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii ndio maana halisi ya mtu alie staarabika na kuelimika ...
Hata idadi ya watu walio like inaeleza kua sio wote walikua wana jua uhalisia

shukrani kwa maoni mzee hawa wadai katiba kwenye kila mada za mtandaoni (keyboard heroes) acha waendelee kudai katiba jamii forum .
 
Back
Top Bottom