GE2025 Daud Ngassa, ajitosa mbio za ubunge wa Jimbo la Urambo

GE2025 Daud Ngassa, ajitosa mbio za ubunge wa Jimbo la Urambo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daud Ngassa, amejitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Urambo, mkoani Tabora.

Ngassa, ambaye pia amewahi kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amekabidhiwa fomu leo na Katibu wa CCM Wilaya ya Urambo, Himid Tweve.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Ngassa ni mtaalamu wa Sayansi ya Vinasaba (DNA) kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, akiwa na shahada ya umahiri kutoka Chuo Kikuu cha Cranfield kilichopo Uingereza.

Screenshot 2025-06-30 203211.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom