DATSUN 120Y SSS

DATSUN 120Y SSS

uhaale

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
305
Reaction score
153
Ndugu wana JF natafuta gari ya zamani kwa DATSUN 120Y SSS COUPE or SEDAN. Najua zipo ila watu hawazitumii kwa sasa hivi.
datsun 120y sss coupe.jpg
datsun 120y sss.jpg
 
Tafadhali naomba utujuze na sisi kwa nini uitafute hiyo gari ya zamani sana nadhani 30- 40yrs ago na kwa nn usinunue tu zilizopo km ni usafiri ?
Silicon Valley, iko hivi, nataka kuanzisha collection ya magari ya zamani, actually kwa hapa Tanzania tumechelewa sana majirani zetu wanafanya hiyo kitu na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa. its just for fun.
 
Go through this link.
njooo moshi lipo
Mimi niko Dar, kama moshi liko nipe no yako inbox tuongee.
 
Silicon Valley, iko hivi, nataka kuanzisha collection ya magari ya zamani, actually kwa hapa Tanzania tumechelewa sana majirani zetu wanafanya hiyo kitu na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa. its just for fun.

Okay niliwahi kuona USA wana recondition/renovation magari ya 50's na kuweka accessorizes za kisasa kabisa

Sisi tuko dar tunazo FIAT 682 N3 TRUCKS ni za zamani kuliko hy120y nzima kabisa zinatembea ukihitaji tuwasiliane
 
Ok asante but kwa sasa naona nianze na saloon cars.
 
Hiyo ya pili IPO hapa mtaani watoto wansjificha humu ila inatembea toa ofa yako niongee na jamaa
 
Nipo Arusha kinatembea maana nilikua na pancha naona wamekirekebisha kata ofa kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom