Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 3,036
- 8,394
sina experience,wangu nawaokoteza kwa road mawasiliano siku mbili tatu nikiingia line thawa akiwa hana qualification natupa kule.
kitu ambacho kilinisumbua sana akili yangu before sijamtokea my wife ilikuwa ni kwamba itakuwaje kama uhusiano wetu usipowork,tukagombana na hata kupoteza urafiki wetu?? But i decided to take that big risk..... But it wasnt easy.To turn a lover into a best friend is another option,ambayo nafikiri its easier than the oppositeCan go either way.., very good or not so good.., depends with the outcomes, kama mkikorofishana vibaya you might end up loosing hata ule urafiki wenu..Nadhani cha maana ni ku-date mtu unayempenda (awe rafiki, neutral au adui) fanya kitu roho inapenda, unaweza ukambadilisha mpenzi wako akawa rafiki yako, so long as mna same interests zinazofanana as well as kuna trust unamfanya confidante wako
kitu ambacho kilinisumbua sana akili yangu before sijamtokea my wife ilikuwa ni kwamba itakuwaje kama uhusiano wetu usipowork,tukagombana na hata kupoteza urafiki wetu?? But i decided to take that big risk..... But it wasnt easy.To turn a lover into a best friend is another option,ambayo nafikiri its easier than the opposite
mimi like this!sie hatukuwahi kuwa friends but dating has made us best friends.
Kwa upande wangu naona kuna ugumu kidogo kumbadili rafiki kuwa mpenzi ingawa ni ukweli wa wazi kuwa kama ukifanikiwa basi uwezekano wa kuwa na ndoa imara ni mkubwa kutokana na kufahamiana, kuzoeana tabia na kila mtu kuyakubali mapungufu ya mwenzie.Leo naomba tudiscuss hii ishu ya kudate(kuwa na mahusiano ya kimapenzi) na rafiki yako wa karibu. Kwanza naomba nitangaze maslahi binafsi,mimi mke wangu kabla hatujaanza uhusiano wa kimapenzi,alikuwa ni rafiki yangu wa ukweli yaani for like three years, tulikuwa tumeshibana kweli kweli,i knew everything about her, and likewise she knew all about me.
Tulipoamua to take our friendship into the next level kwa kweli ile transformation period from friends to lovers it was hard to be honest, ilibaki kidogo tu tukate tamaa, hasa pale ambapo ilibidi kuvuliana nguo,ile the first time it was hard and awkward, lakini baada ya hapo,imekuja kuwa the best thing that has ever happened to us,yaani ubest umezidi, amekuwa my closest person, my best friend,my best companion, tunaweza kuongea masaa 24 bila kuchoka,it has been 11 years, lakini ukituona utasema ndo tumeoana juzi.
Sometimes tunaongea tunaulizana what if we gave up during the transformation period? We would have made the worst mistake of our lives,au what if kila mmoja angebaki tu na dukuduku lake moyoni?
Leo nataka tu kushare nanyi kuhusu ugumu au urahisi wa kumgeuza rafiki yako kipenzi kuwa mpenzi wako. Karibuni
Really?honestly allichosema mtoa mada mie nimekifurahia sana. mie mume niliyenaye 23 yrs now alikuwa best friend wangu na hadi leo tuko vizuri sana sana, tunapendana kwa kweli, ni rafiki, mpenzi, mume, kaka na ooh I love him so much
Best friend wa jinsia tofauti? Over My Dead Body!!best frend ni kugegedana na kuendeleza urafiki