Dating sites: Siko Hapa Kudate

Kule laki sio kitu yani. Unashangaa unatajiwa 200k pumbavu mimi naitoa wapi asa..😂
Siwaelewagi wale kabisa. Laki na nusu inatajwa kama kirahisi kama buku kha! Afu Tally hunter hayupo listed tena kule, ashakuwa superstar nini anatafutwa privately sahivi?
 
Siwaelewagi wale kabisa. Laki na nusu inatajwa kama kirahisi kama buku kha! Afu Tally hunter hayupo listed tena kule, ashakuwa superstar nini anatafutwa privately sahivi?
Hhaha watu wanafatwa privet mkuu. Washatengeneza umaarufu now hawawi listed wateja wanaflow PM tu haha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka maana na mimi enzi za ujana nilishawahi kufanya hivi, ila yule hakuniambia tunaenda wapi nilishtukia tu tumefika eneo la tukio
na mzigo ukadukuliwa......
 
Hujafikia dau lake mkuu.
Dating site na story wapi na wapi
 
Na kwa taarifa yako mwisho wa siku huwa wanatoa ushirikiano kuliko ulivyotarajia mkuu.
 
Inakera utie mtu nyege aingie gharama ..then ugome kutoa mchezo ahah lazima namna ifanyike kupoza machungu
Mkuu mmoja niliwahi mtoa toka wilaya moja hapa Dar na kuvuka Wilaya nyingine kati hadi ya 3 nje kidogo ya mji. Tangu jioni ya saa 11 kanywa pombe kwa gharama zangu za kutosha...... kala mbuzi na michemsho ya kuku na samaki kwa kurudia rudia.... nimempeleka disco alilotaka kacheza huko na pombe juu tena. Mishale ya saa 7 usiku tunaenda huko tulikoenda ambako tulifika 8 kasoro hivi.... demu kagoma katakata kutoa mchezo. Nikamwambia vaa nguo zako nikusindikize uende kwenu, akavaa. Tukatoka nje anatangulia kwenye gari..... nikamwambia hiyo gari haitoki. tukatembea umbali wa dk 15 hadi kukuta barabara kuu na huko daladala huwa zinakata saa 4. Akajua mm namchukulia bodaboda nikamwambia hakuna cha boda boda hapa wala nn ww tambaa.... usiku ule alilia kilio kama kafiwa maana dizaini hakuwa na hela ya kutosha kuchukua bodaboda or taxi hadi kurudi wilaya ya 3 anakoishi. kwa kweli nilimwacha pale nikala zangu chochoro sijui aliondokaje siku hiyo.
Mi kutoka pale nikaenda kugonga mlango kwa chuma changu kingine mitaa yakati nikamaliza nyege zangu na kumalizia usingizi wangu wa saa 10 usiku.
 

Awa viumbe unatakiwa unavaa uso wa mbuzi usio na huruma ata kidogo ,ukizubaaa tuu unakosa kucheza na kiharage
 

Hongera BAHARIA huo ndo UBAHARIA sasa hakuna kucheka na Kima
 
Huu ni zaidi ya ukatili mkuu hakua tayari na ungelazimisha ni sawa na kubaka ni bora ungempa nafasi alale au ungemsindikiza hadi alipokua anakwenda na hakika angekuheshimu milele
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…