wewe si 4 by 4 by far?
sasa waogopa nini?
pita tu barabara zote
usiogope mashimo lol
Thanks kwa jibu lako zuri kakangu, na ndo maana mimi nachanganyikiwa kama nimpe au la. Mpaka sasa ameshasema ni vyema tuwe tuu marafiki kama zamani. Ila roho inauma maana ntamkosaa:love:uwoga wako ndo umaskini wako....wakati mwingine mkido ndo inaleta hamu ya kuwa pamoja.....me i hate those women who are playing hard to get bt then i hate those who are easy to get...
Jamani kaka zangu mbona mnakuwa wakali kama mbogo, sin:bored:mekuja kuuliza tuu kama dada yenu! Kwani hampendi mashemeji kutoka nchi zingine? Kuuliza sio ujinga, mwenye nia ya kunisaidia atanisaidia na mawazo.
Hata mimi nasubiri hiyo tafsiri ya mpopo.Mpopo ndio nn?au ndio nazeeka
I'm waiting....πBoss will let you knw, he knows best.
mpopo ni mnigeriaMpopo ndio nn?au ndio nazeeka
Jamani ndgu zangu habarini,
Nimetokea kupendwa na mpopo mmoja kijana wa makamo hivi. He is younger than me like 6yrs hv! I wish to fall kwake pia ila naogopa. I wish to know his whereabouts ila anaonekana kuwa msiria sana. Yeye anadai anataka mke wa kuishi nae. Tuko kwenye date for more than a month now ila hatuja Do mpaka sasa. Ss anaonekana kuchoka na mimi kwa ajili sitaki ku DO nae mpaka nimjue vizuri. Hivi ni kama ni mume wa kweli siatanisikiza. Je ni lazima ku DO ndo ishara ya kumuonyesha kuwa unampenda? Wanaume nisaidieni na mawazo yenu ya kiume. :help:
we unataka ushauri kwenye maneno ambayo maana yake unaifahamu mwenyewe...??!! ngoja basi tukatafute dikshenari tukizipata ndo tutarudiπBoss will let you knw, he knows best.
Jamani ndgu zangu habarini,
Nimetokea kupendwa na mpopo mmoja kijana wa makamo hivi. He is younger than me like 6yrs hv! I wish to fall kwake pia ila naogopa. I wish to know his whereabouts ila anaonekana kuwa msiria sana. Yeye anadai anataka mke wa kuishi nae. Tuko kwenye date for more than a month now ila hatuja Do mpaka sasa. Ss anaonekana kuchoka na mimi kwa ajili sitaki ku DO nnkumuonyesha kuwa unampenda? Wanaume nisaidieni na mawazo yenu ya kiume. :help: