HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
Wataenea tu. Mbona hata wasukuma na watu wa musoma wanaeneaga! Yaani usijikute unaishi mwanza na ni mtu wa musoma uwiii
Duuu, halafu King'asti hapo wewe ndo mama mwenye nyumba na unatakiwa uwapikie ugali, utakoma kulinga! ugali wa kuwatosha wote, na kupika kila siku si utajazia mikono na kifua kama tyson au wanyanyua vyuma vizito?