Pale mafinga alikuwa anashuka ule mteremko na kasi ya ajabu ilikuwa tukiiona tunaita kisu hicho.Giriki hasa ile ya tunduma ilikuwa hatari mpinzani wake alikuwa masia.
Nimetoka kuiona sahivi,kweli hakuna matumaini, mdada wa watu na alivo mzuri, hapo labda asomee urubani Sasa Mana ndege za siku hizi Zina oparate kwa joystick