Going Concern JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 1,071 Reaction score 1,213 Nov 26, 2015 #1 hii msg naipata sana kwenye simu yangu, je kunatatizo lolote litatokea...? nini chakufanya kama kuna risk zozote zinazoweza kujitokeza....msaada wakuu
hii msg naipata sana kwenye simu yangu, je kunatatizo lolote litatokea...? nini chakufanya kama kuna risk zozote zinazoweza kujitokeza....msaada wakuu
Kijundukila Senior Member Joined Apr 7, 2015 Posts 195 Reaction score 144 Nov 26, 2015 #2 Hakuna tatizo lolote lile ni warning ya kawaida tu hiyo umetumia kiasi kikubwa cha data tofauti na ulivyoweka!? Nenda kwenye SETTING>DATA USAGE kaongeze limitation hapo.
Hakuna tatizo lolote lile ni warning ya kawaida tu hiyo umetumia kiasi kikubwa cha data tofauti na ulivyoweka!? Nenda kwenye SETTING>DATA USAGE kaongeze limitation hapo.
IamMrLiverpool JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 4,855 Reaction score 7,463 Nov 26, 2015 #3 Umeset data limit kikomo kinakaribia