Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 652 Sep 15, 2013 #1 Hivi Leo nimepata hiyo warning kwenye simu yangu wakati nikitumia internet,naomba kujua hii ina maana gani na madhara yake ni nini?
Hivi Leo nimepata hiyo warning kwenye simu yangu wakati nikitumia internet,naomba kujua hii ina maana gani na madhara yake ni nini?
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,671 Reaction score 21,884 Sep 15, 2013 #2 distazo said: Hivi Leo nimepata hiyo warning kwenye simu yangu wakati nikitumia internet,naomba kujua hii ina maana gani na madhara yake ni nini? Click to expand... Ukienda settings alafu usage unaweza set data limit kama control ya downloaded data kwa simu yako. Unaweza kufanya adjustments au ku disable kabisa
distazo said: Hivi Leo nimepata hiyo warning kwenye simu yangu wakati nikitumia internet,naomba kujua hii ina maana gani na madhara yake ni nini? Click to expand... Ukienda settings alafu usage unaweza set data limit kama control ya downloaded data kwa simu yako. Unaweza kufanya adjustments au ku disable kabisa
Zvi JF-Expert Member Joined Oct 1, 2012 Posts 627 Reaction score 388 Sep 15, 2013 #3 Nenda kwenye settings then data usage, Un tick kile kibox inachosema " set mobile data limit" au unaweza set data limit kubwa ambayo una uhakika hutaifikia
Nenda kwenye settings then data usage, Un tick kile kibox inachosema " set mobile data limit" au unaweza set data limit kubwa ambayo una uhakika hutaifikia