Data Scientist ana earn kiasi gani?

Data Scientist ana earn kiasi gani?

Mr Kaptenovela

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
621
Reaction score
618
Habari wanaplatform,

Ningependa kufahamu data scientist monthly wages kwa hapa kwetu Tz. Nimejaribu kutumia search engines napata kwa viwango vya huko nje. Nimeamua kugeukia humu sababu nina uhakika ntapata mawili matatu kuhusiana na dukuduku langu.
Msaada tafadhali, either junior au senior data scientist.

Regards.
 
Hehe!!! Sijafahamu exactly figures mkuu.
Ila ukiona field ziko nhot huko nje ujue bongo wengi wapo gizani bado, meaning hawazifahamu sana.Ungejaribu kuuliza monthly wages za field zetu hizi zilizozoeleka I'm sure ungeshapata jibu tayari.Hizi za hivi mambo mageni lol.
Samahani kama ntakuwa nje ya mada ila ukweli ni kuwa hizi field za tech sie bado...juzi nilikuwa nacheki fleelancing platform fulani hivi kuhusu hiyo data science nikaona ni wahindi ndo wamedominate... Halafu malipo yao per hour mazuri kweli.. Mkuu piga potepote itakutoa sana.
Ajira zipo usijari part time,full time... Waweza jiajiri pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom