Data science

Data science

Mr Leo

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2021
Posts
602
Reaction score
1,271
Habari za mida hii wakuu?....

Kama jina la thread linavyojieleza hapo juu, ningependa moja kwa moja niende kwenye mada husika hasa iliyopelekea hadi mimi kuanzisha hii thread.

Nina mdogo wangu anataka kusoma kozi ya tehama amabayo kimsingi kwa nchini hapa bado ni ngeni nafikiri ipo chuo kimoja tu(mbeya university of science and technology) na hiyo kozi inaitwa Bachelor of science in Data science..

Nahitaji kujua angalau baadhi ya vitu kuhusiana na hii kozi ya tehama(Bsc data science) kama vile

hii kozi inahusiana na mambo gani hasa
sababu kubwa ya kozi hii ni kuja kutatua changamoto zipi za kitehama?.
kozi hii inafanya sana kazi mazingira gani?.
kozi hii ipo sana favorable kwa watu wenye sifa gani?.

Naomba kuwasilisha wakuu.
 
👉 Data science ni tawi la sayansi linalojikita katika kuvuna uelewa (knowledge) kutoka kwenye taarifa ndogo ndogo zisizo na muundo maalumu (un-stractured data)
Mfano wa 'un-stractured data' ni list ya video ulizowahi 'kutazama' youtube, wasanii uliowa follow instagram, na post za marafiki ulizo wahi kuzi 'like' Facebook

Kwa kutumia hizo taarifa ambazo kwa haraka haraka hazina muundo au maana yoyote, tunaweza jua aina gani ya video utapendelea kuzitazama, posts za wasanii au marafiki gani utapenda ziwe kwenye facebook au instagram feed yako

Kwa ufupi, ni kufahamu kitu kupitia taarifa ndogo ndogo

👉 Kuna ma 'billions' ya taarifa ndogo ndogo mtandaoni.
Fun fact: Picha zilizokua uploaded katika mtandao wa facebook mpaka sasa ni nyingi kuliko picha zilizowahi kupigwa ni binadamu wote waliowahi kuishi kabla ya Facebook.
kwa kusoma na kuchambua hizi taarifa tunaweza kupata uelewa mpana kuhusu jambo fulani

Mfano kwa kuchambua taarifa ndogo ndogo kuhusu watumiaji wa mtandao wa Facebook marekani mfano aina ya posts wanazopendelea, pamoja na taarifa nyingi za namna hio tunaweza tabiri kwa ufanisi mtazamo wao wa kisiasa

So data science imekuja kutatua hili tatizo, tuna taarifa nyingi, tunaweza kujifunza nini kupitia hizi taarifa?

👉data science inatumika zaidi kwenye tech companies au organizations kubwa zenye taarifa nyingi sana (big data)
Mfano Facebook yenye watumiaji takribani billion 2,Ma trillion ya picha, video, na textual contents

Kampuni kama hizi zinatumia data scientists kuchambua hizi taarifa na kuziweka kwenye muundo unaoeleweka (from unstractured to stractured data)

Then, baada ya kuziweka katika muundo unaoeleweka hizi taarifa sasa zinaweza kutumika kufundishia Programs za computer zinazo julikana kama Artificial intelligence

Artificial intelligence programs kupitia hizo taarifa ndiyo zinazo andaa 'recommendation video'unazoziona kila mara unapofungua Youtube au Tiktok yako

Hizo Artificial intelligence ndio zinazoamua picha zipi uzione kwenye instagram's explore page yako

Hizo artificial intelligence programs kwa msaada wa hizo taarifa ndio zinazotumika kuongoza self driving cars

👉Data science inawafaa watu wenye passion na Technology & Mathematics

Ushauri wangu: Asome kwa uelewa sana, hakuna ajira zake bongo
 
Ntakujibu swali lako kwa Kiswa-english maana sina maneno sahihi ya kiswahili kwa baadhi ya meneno.

Data science ni 21st century hot cake kwa mataifa makubwa ambako wanatumia available data kufanya decisions katika nyanja za siasa(Kuna ushihidi wa kutosha kwa chaguzi za marekani kuajiri data scientist), katika biashara/Uchumi na katika afya n.k

Quick scanning kwenye website ya MUST prospectus haioneshi details za course hivo ntaijibu kulingana na nyaraka nyinginezo maana hii Course ilikua inatolewa kwa level ya Masters UDSM na Open University of Tanzania.

hii kozi inahusiana na mambo gani hasa
Kozi hii inahusiana na extraction ya data mbali mbali, kuzipangilia vizuri, kufanya statistical analysis kwa kusaidiwa na kuchora graphs pale inapobidi.
Katika eneo hili maana yake mwanfunzi atafundishwa Programming ambayo hufundishwa kwa course za IT na engineering, atakua mtaalamu wa Statistics pia ili kuweza kupata insights katika hizo data.
Kwa mfano Wizara ya afya hukusanya taarifa zote za vituo vyote tanzania kuhusu Magonjwa,utoaji wa dawa na vipimo vya maabara na hizi data hutumiwa na wizara ya afya kuandaa sera za taifa, na mipango mingine kulingana na burdens za magonjwa kwenye population.
sasa unawezea fikiria Tanzania ina vituo vingapi vya afya(Private na Public), kwa lugha nyepesi data hizi zinaitaji mifumo ya computer kuweza kuichakata na kutoa taswira ya afya ya watanzania wote kiujumla hapa ndo fani ya Data science inapoingia.
Na mifano ni mingi sana kwenye sekta nyingine.

sababu kubwa ya kozi hii ni kuja kutatua changamoto zipi za kitehama?.

Katika tehema ya sasa e.g mtu anaesoma Computer science anakua hana expertise kubwa katika analysis za taaarifa maana kuna independent discplines kama za actuarial sciences, Statistics , Biostatistics(Katika fani ya afya), hivo kozi hii awali ilikua course ya Shahada ya uzamili/Masters kwa watu waliosoma computer science, ila kwa hicho chuo means wameamua ku bridge hili gap la computer science na Statistics.
Changamoto tajwa hapo juu ni ya kimfumo ila changamoto zitazazotatuliwa nimezieleza hapo juu.

kozi hii inafanya sana kazi mazingira gani?.
Katika Nyanja na Mazingira yote ambako kuna taarifa iwe katika siasa, katika jamii, katika biashara, uchumi n.k

kozi hii ipo sana favorable kwa watu wenye sifa gani?.
  • watu wenye Analytical Minds
  • Wapenda tehama
  • Wapenda uchambuzi
  • Wapenzi wa hesabu(Not mandatory)
 
Mkuu heshima kwako
 
Huwa najihisi furaha na kufarajika pale ninapopata elimu ya mambo mbali mbali kupitia majukwaa tofauti tofauti hapa jamiiForums
Hii platform itabaki kuwa my all time favorite as long as social medias are concerned
 
Data science ni tawi la sayansi linalojikita katika kuvuna uelewa (knowledge) kutoka kwenye taarifa ndogo ndogo zisizo na muundo maalumu (un-stractured data)
Mfano wa 'un-stractured data' ni list ya video ulizowahi 'kutazama' youtube, wasanii uliowa follow instagram, na post za marafiki ulizo wahi kuzi 'like' Facebook

Kwa kutumia hizo taarifa ambazo kwa haraka haraka hazina muundo au maana yoyote, tunaweza jua aina gani ya video utapendelea kuzitazama, posts za wasanii au marafiki gani utapenda ziwe kwenye facebook au instagram feed yako

Kwa ufupi, ni kufahamu kitu kupitia taarifa ndogo ndogo

Kuna ma 'billions' ya taarifa ndogo ndogo mtandaoni.
Fun fact: Picha zilizokua uploaded katika mtandao wa facebook mpaka sasa ni nyingi kuliko picha zilizowahi kupigwa ni binadamu wote waliowahi kuishi kabla ya Facebook.
kwa kusoma na kuchambua hizi taarifa tunaweza kupata uelewa mpana kuhusu jambo fulani

Mfano kwa kuchambua taarifa ndogo ndogo kuhusu watumiaji wa mtandao wa Facebook marekani mfano aina ya posts wanazopendelea, pamoja na taarifa nyingi za namna hio tunaweza tabiri kwa ufanisi mtazamo wao wa kisiasa

So data science imekuja kutatua hili tatizo, tuna taarifa nyingi, tunaweza kujifunza nini kupitia hizi taarifa?

data science inatumika zaidi kwenye tech companies au organizations kubwa zenye taarifa nyingi sana (big data)
Mfano Facebook yenye watumiaji takribani billion 2,Ma trillion ya picha, video, na textual contents

Kampuni kama hizi zinatumia data scientists kuchambua hizi taarifa na kuziweka kwenye muundo unaoeleweka (from unstractured to stractured data)

Then, baada ya kuziweka katika muundo unaoeleweka hizi taarifa sasa zinaweza kutumika kufundishia Programs za computer zinazo julikana kama Artificial intelligence

Artificial intelligence programs kupitia hizo taarifa ndiyo zinazo andaa 'recommendation video'unazoziona kila mara unapofungua Youtube au Tiktok yako

Hizo Artificial intelligence ndio zinazoamua picha zipi uzione kwenye instagram's explore page yako

Hizo artificial intelligence programs kwa msaada wa hizo taarifa ndio zinazotumika kuongoza self driving cars

Data science inawafaa watu wenye passion na Technology & Mathematics

Ushauri wangu: Asome kwa uelewa sana, hakuna ajira zake bongo
I appreciate what you have done mkuu
 
Ntakujibu swali lako kwa Kiswa-english maana sina maneno sahihi ya kiswahili kwa baadhi ya meneno.

Data science ni 21st century hot cake kwa mataifa makubwa ambako wanatumia available data kufanya decisions katika nyanja za siasa(Kuna ushihidi wa kutosha kwa chaguzi za marekani kuajiri data scientist), katika biashara/Uchumi na katika afya n.k

Quick scanning kwenye website ya MUST prospectus haioneshi details za course hivo ntaijibu kulingana na nyaraka nyinginezo maana hii Course ilikua inatolewa kwa level ya Masters UDSM na Open University of Tanzania.

Kozi hii inahusiana na extraction ya data mbali mbali, kuzipangilia vizuri, kufanya statistical analysis kwa kusaidiwa na kuchora graphs pale inapobidi.
Katika eneo hili maana yake mwanfunzi atafundishwa Programming ambayo hufundishwa kwa course za IT na engineering, atakua mtaalamu wa Statistics pia ili kuweza kupata insights katika hizo data.
Kwa mfano Wizara ya afya hukusanya taarifa zote za vituo vyote tanzania kuhusu Magonjwa,utoaji wa dawa na vipimo vya maabara na hizi data hutumiwa na wizara ya afya kuandaa sera za taifa, na mipango mingine kulingana na burdens za magonjwa kwenye population.
sasa unawezea fikiria Tanzania ina vituo vingapi vya afya(Private na Public), kwa lugha nyepesi data hizi zinaitaji mifumo ya computer kuweza kuichakata na kutoa taswira ya afya ya watanzania wote kiujumla hapa ndo fani ya Data science inapoingia.
Na mifano ni mingi sana kwenye sekta nyingine.

Katika tehema ya sasa e.g mtu anaesoma Computer science anakua hana expertise kubwa katika analysis za taaarifa maana kuna independent discplines kama za actuarial sciences, Statistics , Biostatistics(Katika fani ya afya), hivo kozi hii awali ilikua course ya Shahada ya uzamili/Masters kwa watu waliosoma computer science, ila kwa hicho chuo means wameamua ku bridge hili gap la computer science na Statistics.
Changamoto tajwa hapo juu ni ya kimfumo ila changamoto zitazazotatuliwa nimezieleza hapo juu.

Katika Nyanja na Mazingira yote ambako kuna taarifa iwe katika siasa, katika jamii, katika biashara, uchumi n.k

  • watu wenye Analytical Minds
  • Wapenda tehama
  • Wapenda uchambuzi
  • Wapenzi wa hesabu(Not mandatory)
I appreciate for your care mkuu
 
Wanaoesema kwamba ajira haziko Bongo wanakosea.
Fursa zipo nyingi, tena nyingi sana. Kila sehemu ya biashara, kubwa au ndogo ina kusanya data. Kama serikalini kuna ma statisticians, basi the next level ya hapo ni Data Analitics. Data scientist au Data Analyst anaweza saidia kuchambua hizo data ili kuisaidia kampuni iweke mambo sawa au kuongeza biashara au kuingia kwenye fursa ambazo bila uchambuzi wa kina kwenye data zao wasinge ziona hizo fursa.

Hata viwandani, data analytics inaweza imrove productivity na kupunguza system failures and downtimes.
Kwahiyo fursa zipo, nijinsi mtu anavyo jipanga na na kujitangaza...
 
Back
Top Bottom