samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,269
Huwa natumia zaidi ya Software zaidi ya moja kupata ufanisi wa kazi... Wakati mwingine hii italeta file lime-corrupt na software nyingine linakuja vizuri...Na hili tartizo la files kuwa na size ya 0 bytes baada ya kurecover mnalifix vipi?
hazihitaji cracks?...hiyo ease us nimeitumia imerecover 500mb pekee ikadai licenceMkuu pole sana kwa kadhia.
1. Recover My Files
2. Stellar Phoenix Data recovery (Professional/Technical)
3. Wondershare
4. R-Studio 7.2 (Network Edition)
5. EaseUS Data Recovery Wizard
Hizo juu hapo nimewahi kutumia zaidi ya mara moja...
poa mkuu ngoja nichekiTumia active recovery software ni nzuri zinapatikana torrents with key
crack zake zinapatikana torrents orTafuta Recuva pro.
ningekusaidia crack bahati mbaya kwa sasa nina kitochi tu hapa.
Bila shaka zinataka crack...hazihitaji cracks?...hiyo ease us nimeitumia imerecover 500mb pekee ikadai licence
Thanks bro za ease us pia unaweza kua nazo unisaidieBila shaka zinataka crack...
Recover My Files v3.9.8.5178 inataka keys.. Hizi hapa:
SamLab.ws
8154-0BF0-E6E3-0AC7-5FB0-956C-916D-662D-1D6D-BCD7-EDB4-5193-D5E1-4185-04BF
------------------------------------------------------------------------------
Name: Andrew Trevis
Serial Number: 00000G-XPAQ1T-5V91Y4-5HCKDN-42YW35-CY6JD9-TQQQ16-MVCXV4-QEJY9C
------------------------------------------------------------------------------
Name: Adrian Cortland
S/n: N74H0P-05H5QG-6NPVZD-6FGZMT-3BM0DP-RVYG0U-W4UJTX-1YF1MH
------------------------------------------------------------------------------
hizo cracks zote zimenigomea mkuuPakua Stellar Phoenix ya Edition ya 6.0 Technical, Patch hii hapa
Haitaki password ?Pakua Stellar Phoenix ya Edition ya 6.0 Technical, Patch hii hapa
Mi pia uwa natumia hii inarudisha hata mavitu ambayo ujawahi kuyaweka kwenye device yakoTafuta Recuva pro.
ningekusaidia crack bahati mbaya kwa sasa nina kitochi tu hapa.
Rockey2.dll naambiwa sina hivo siwezi kutumia hii programPakua Stellar Phoenix ya Edition ya 6.0 Technical, Patch hii hapa
hiyo recuva mbona mimi inagoma ina load tuMi pia uwa natumia hii inarudisha hata mavitu ambayo ujawahi kuyaweka kwenye device yako
Uninstall iyo mkuu then kwa ushaur zaidi ikia YouTube search for recuva check tutorial zake ujue jinsi ya kuitumia then kwa chini hope watakua wameweka link ya kudownload ipo simple Sana kuitumiahiyo recuva mbona mimi inagoma ina load tu