Data recovery software...msaada!

Data recovery software...msaada!

talentboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
2,104
Reaction score
2,079
Habari wakuu..
Mi nlikuwa na shida ya software ya kurestore data na files baada ya kuformat corrupted partition ya external hdd...ntashukuru sana km ntapata ambayo ni full version ambayo nataitumia free bila restriction yyte kama vile trial version or itayonilimit kurecover certain number of files only...

Kwa yeyote mwenye kuwa nayo naomba anidondeshee humu au ata link anaweza nipatia...nimejaribu kugoogle but nyingi ni trial ver.na huwezi kukopi data ambazo ni recovered mpaka upurchase full products...they are just displayed!
Natanguliza shukran
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom