Data recovery kwenye simu ya Android

Data recovery kwenye simu ya Android

ipyax

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
4,770
Reaction score
7,344
Jamani naomba msaada kama kuna mtu anaweza nisaidia ku-recover deleted contacts ,photos kwenye Android phone (Galaxy mini) .Nipo tayari kugharamia kwani kuna mtu ame-delete kwa makusudi ili kupoteza ushahidi.
 
Aiyaaa sasa unasubir nini hujanipigia 0753093869 chaaapu
 
Jamani naomba msaada kama kuna mtu anaweza nisaidia ku-recover deleted contacts ,photos kwenye Android phone (Galaxy mini) .Nipo tayari kugharamia kwani kuna mtu ame-delete kwa makusudi ili kupoteza ushahidi.
zipo tena for free usilipie
 
ngoja nione namna ya kukusaidia lkn bila pc mi naona kuna kaugumu
 
61a5b3510692ffc7b0a5954eafa33779.jpg
kwa kurestore picha zote zilizopotea tumia hii hapa itarudisha picha zote iko playstore itafute huko .subiri na ya sms nakupa
 
Back
Top Bottom