Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Sijui nikuite Bibie ama?.. hiyo sheria ya UK haihusiani na kulinda data zenye UFISADI, pengine uelewe kwamba manunuzi ya serikali wao hupitishwa na vikao vya bunge, au Halmashauri na hufanyiwa Auditing na vyombo vya utumishi wa serikali visivyo fungamana na chama tawala. Na ndio maana Blair alikuwa ktk scandal ya BAE na rada, viongozi wengine wamekuwa forced kuachia Uwaizri mkuu kutokana na UWAZI walokuwa nao wenzetu, sisi kila kitu ni siri umeona Buswagi wakiweka mkataba Hotelini London ingekuwa UK... sidhani kama CCM ingepona bila uchaguzi mpya. Kwa hiyo tunatakiwa kuwa na sheria ya UWAZI na sio ku protect data ambazo usiri wake tayari umetuathiri.Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.
1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa
My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania
EXAMPLE:Data Protection Act 1998
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act

Sijui nikuite Bibie ama?.. hiyo sheria ya UK haihusiani na kulinda data zenye UFISADI, pengine uelewe kwamba manunuzi ya serikali wao hupitishwa na vikao vya bunge, au Halmashauri na hufanyiwa Auditing na vyombo vya utumishi wa serikali visivyo fungamana na chama tawala. Na ndio maana Blair alikuwa ktk scandal ya BAE na rada, viongozi wengine wamekuwa forced kuachia Uwaizri mkuu kutokana na UWAZI walokuwa nao wenzetu, sisi kila kitu ni siri umeona Buswagi wakiweka mkataba Hotelini London ingekuwa UK... sidhani kama CCM ingepona bila uchaguzi mpya. Kwa hiyo tunatakiwa kuwa na sheria ya UWAZI na sio ku protect data ambazo usiri wake tayari umetuathiri.
Sheria hii ni muhimu ije haraka(maana italinda haki ya usiri wa mtu binafsi"Right to privacy")
Hata hivyo sheria hiyo"Data Protection Act" haitakuwa na maana bila ya kuletwa sambamba
na sheria ya Haki ya kupata habari"Right to Access Information" ili kuihakikishia jamii Haki na Uhuru
wa raia katika Privacy & Information.
hivi ww wa wapi? Mtu asieleze fikra kuhusu cdm na viongozi wake basi katumwa na ccm..................wanaoyasema ya ccm pamoja nawe umetumwa na cdm au mbowe?.........ruhusu akila yako ifikirie sawasawa na simama kwny ukwl!!dr.slaa kwani anaiba au analetewa?we dr.unajua tafsiri ya kuiba?nahisi ww umetumwa na magamba basi muende hadi facebook mkaifunge na twitter pia
Nadhani ushauri wako umewafikia walengwa.... tusubiri tuone kama utatekelezwa!
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.
1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa
My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania
EXAMPLE:Data Protection Act 1998
...
1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali......