Data on downed US drone decrypted: IRGC Cmdr

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
1,862
A senior Iranian commander says Iran has successfully decoded all the records on the downed US RQ-170 Sentinel reconnaissance drone.

Iran has easily cracked the codes on the data of the drone’s operations and tasks recorded on the aircraft’s memory, said Navy Commander of the Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) Rear Admiral Ali Fadavi.

There were “numerous codes, but we obtained all the information on its memory, including protocols, repairs and flight sorties; for instance, the data of a flight after repairs in 2010 or the [drone’s] deployment in the operation against [slain al-Qaeda leader Osama] bin Laden in Pakistan,” IRNA quoted the commander as saying on Sunday.

On December 4, the Iranian military's electronic warfare unit announced that the country successfully downed the US RQ-170 Sentinel stealth reconnaissance aircraft inside Iran with minimal damage.

The aircraft, designed and developed by the American company Lockheed Martin, had crossed into Iran's airspace over the border with neighboring Afghanistan.

The naval commander also criticized the presence of extra-regional forces in the Persian Gulf and stated, “The Islamic Republic has dominance over the Persian Gulf and the Strait of Hormuz.”

PressTV - Data on downed US drone decrypted: IRGC Cmdr.
 
IRGC wamesema wata-replicate hiyo drone, kwa hiyo soon na wao watakuwa na drones za kutosha.
 
Iranians wakirusha drones soon hata sitashangaa.
Wapi Tanzania
OTIS
 
Niliwahi kueleza umahili wa WAIRAN watu wakanibeza tu. Wamerika wanaongoza drones hizi wako based nadhani Kuwait au Baharain; nafikili hii siyo mara ya kwanza drones hizi ku-crosss haga la IRAN, nawao walikuwa wanazi-track kwa sniff mawasiliano kati ya drones na base stations zinazo angoza urukaji wake; walipo kusanya enough DATA zinazo husu control systems/flightpath zake ndiyo wakaifanyia timing kwa kuingilia mawasiliano yake na kuiwezesha kutua kwenye decoys zilizokuwa zimetayarishwa na Wairan. Mimi nafikili Iran ilishirikiana na aidha Uchina au Urusi kufanikisha hilo.

Niliwavulia kofia Wairan walipofanikiwa kuondoa virusi kwenye PLCs zao zakuongoza centrifuge aluminium cannisters zakuzalisha fuel zinazo tumika kwenye Nuclear reactors zao; virusi hivyo vilikuwa vimepandikizwa na wa USA/Israel.
 
Mkuu waweza ukawa sahihi,lakini wakati nchi hizo zipo tiyari kwenye vita ya maneno yaani propaganda yawezekana ni sahihi lakini kwa kiwango gani?Au ikawa ni danganya toto ?La msingi ujuzi wa mtu ni wa mtu regardless anatokea nchi gani au rangi gani.
 
Hiyo siri ya hizo drones ninaifahamu kwa kina ila kwa sababu za msingi sitaiongelea hapa; sidhani kama kweli Irani wanasema ukweli ila huenda hiyo ni propaganda tu. Wanaweza kujenga ndege kama hiyo, ambayo ni kama toy la kawaida; ila sidhani kama wanaweza kujenga uwezo kamili wa ndege hiyo kukusanya data za kijasusi kwani network inayotumiwa na majasusi wa kimarekani haijawahi kuingiliwa na taifa lolote. Tusisahahu kuwa hata hii internet tunayochezea leo duniani ilikuwa ni network ya kijasusi ya kimarekani tangu miaka ya sitini hadi walipohamisha network yao sehemu maalum miaka ya themanini na kutuachia hii tunayochezea leo. Vile vile GPS tunayotumia leo ni ya jeshi la anga la marekani ila sisi tumeruhusiwa bandwith ndogo tu tena ambayo jamaa wanaiwekea makosa ya mara kwa mara kwa makusudi tu.
 
for up who knows cryptography we dismiss it as a myth. ht is not that easy!
 
Back
Top Bottom