Data entry

Data entry

makery

Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
33
Reaction score
3
Salam wanajamii, Nina degree ya economics and statistics na nina uzoefu sana kwenye upande ufatao;

1.Kutumia excel
2.Kuingiza data kwenyeSPSS na kuzifanyia analysis
3.Kuandika research
4.Kutumia vizuri computer eg. kutype kwa haraka,kufanya installations, na stationary activities zinazohusisha matumiz ya computer
5.Nina uwezo wa kufundisha masomo yafuatayo kwenye vyuo
a)Economics
b)Basic mathematics
c) Statistics and research studies

Kwa mawasiliano unaweza nitafuta kupitia email yangu hii
mwinyi88@hotmail.com Nipo hewani muda wote, ukinicheki nitakujibu on time.

Comment yenye manufaa kwa wanajamii..
Shukran
 
excel unaijua vizuri
 
ndio naijua vizuri hapo siwez kukwambia kilakitu najua maana excel ni kubwa sana na insmatumiz mango. unaweza jiona unajua ila ukakutana na mtu anayejua vitu vingine ambavyo wewe huvijui na yeye vyako havijui
 
Back
Top Bottom