Data entry baada ya sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Data entry baada ya sensa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by maranatha, Aug 21, 2012.

 1. m

  maranatha Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kwa anayefahamu tafadhari,nafasi za kazi za data entry baada ya sensa zinatangazwa lini?
   
 2. m

  mbenje New Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  wa2 walisha apply be4 hata kazi yaukarani haijatangazwa hivyo basi kwa tetesi nilizozipata hiyo nafasi haitatangazwa. applicant ni wengi.
   
 3. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  walishajipatia tayari
   
 4. m

  maranatha Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  da! mwaka huu imekula kwangu kuhesabu watu nimekosa,nilitegemea hii nitabahatisha coz niliifanya 2002 nayo hola najisikia kulia coz inamalipo mazuri sana
   
 5. p

  pua kubwa Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani wameshachukua watu wa kazi hyo? Mbona mm ndo naanza mchakato
   
Loading...