PreGE2025 DAS Mtewele awataka wananchi wa Kasulu kuvitunza vyanzo vya maji

PreGE2025 DAS Mtewele awataka wananchi wa Kasulu kuvitunza vyanzo vya maji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma Theresia Mtewele, amewataka Wananchi wa Wilaya hiyo kutunza mazingira ya vyanzo vya Maji ili kuendelea kupata Maji safi na salama.

Mtewele amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa kinara wa kuhakikisha miradi mbalimbali ya Maji inatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata Maji safi na salama nchi nzima.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Back
Top Bottom