Correct!Huyo DAS ni Aboubakar Asenga??
Kada wa kijani huyo mtuCorrect!
Ni mrombo sema akili zake ni za kijani.Huyo DAS ni Aboubakar Asenga??
Kwanini mkuuAkimsikia Lijualikali..presha inampanda vibaya mnoooooooo
Ziwa limekaa kama Ndoo ya Maji hakuna hata beach sand?
Kwa nilivyoliona tuu halifai mkuu ziwa limepatikana katikati ya Milima ni kama Crater hivi ona hata January Makamba Anaogopa.Halina fukwe....kushuka ni ishu pia....mteremko mkali sana.
Halina kina kifupi, ukiingia ni unaingia mazima.
Jamaa alishamaliza azabu ile ya kunnnnyeeeka ndooni keko?Akimsikia Lijualikali..presha inampanda vibaya mnoooooooo
Teh teh tehZiwa limekaa kama Ndoo ya Maji hakuna hata beach sand?