Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 127
Uzuri ni kwamba sayansi si dini, hatuna miungu katika sayansi, Darwin aliweza kukosea na kusahihishwa. Ni mtu mwenye mawazo ya reverence ya kidinidini tu anaweza ku criticize sayansi kwa sababu ya ukosefu katika mawazo ya founder.
QUOTE]
Basi pia kuhusu binadamu eti walikuwa nyani hapa Darwin alikosea.
kama angisema nyani walikuwa watu hapo ningemwamini kwa sababu sisi tunaambiwa na Kuruani tukufu kuwa kuna watu walibadilishwa na Mungu kuwa manyani na wengine mangurue.
Kwa hiyo katika vitabu vyako mtu akikosea kimoja atakosea vyote? Newton mbona laws zake ukiziweka katika relativistic acceleration zinakuwa hazifai, lakini ukiziweka katika terrestrial acceleration zinakuwa sawa.
Why do I even bother, I am sure you do not understand the difference between terrestrial and relativistic acceleration.