Translator
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 286
- 297
umeona eeh hum watu wajuaji balaa
Hadubini inatumika kukuza kitu kidogo sana (kisichoonekana) ili kionekane vizuri...Ila kanuni ya jinsi vinavyofanya kazi ni moja, maana vyote vinatumika kuona kutoka umbali mrefu
MagnificationHadubini inatumika kukuza kitu kidogo sana (kisichoonekana) ili kionekane vizuri...