DART yaongeza magari ya mwendokasi barabarani

Shigganza

Senior Member
Joined
May 24, 2018
Posts
160
Reaction score
412
Wakala wa mabasi yaendayo haraka (Dart) umeanza kutekeleza maagizo yaliyotolewa na Waziri wa TAMISENI Suleiman Jafo wakati alipotembelea mradi huo katika siku za hivi karibuni kufuatia malalamiko ya watumiaji wa usafiri huo,. Baadhi ya maagizo hayo ni pamoja na kutengeneza mabasi yote mabovu na kuzuia magari, pikipiki binafsi kupitia katika barabara hizo, kuchukua mabasi 10 yanayofanya safari mbezi kwenda kimara yabebe abiria wanaoanzia kimara kwenda kivukoni na kariakoo, kushirikiana na SUMATRA kuongeza daladala za kawaida zinazotoka mbezi kwenda Kate na makumbusho na kupeleka majina ya watendaji wanaohujumu mradi kwa katibu mkuu TAMISEMI.

IMG_1482.jpg
 
View attachment 1049792
Hii Dart bora hata Treni ya Mwakyembe inaeleweka!
 
UDA irudushwe JIJI.
 
Nchi hii watendaji wa chini ni wabaya kuliko shetani mwenyewe na watanzania uvivu uko damuni
 
Adha ya mabasi haya kwa sasa hakuna tofauti na enzi za daladala za mbezi kariakoo au Kivukoni.
 
Wakala wa mabasi yaendayo haraka (Dart) umeanza kutekeleza maagizo yaliyotolewa na Waziri wa TAMISENI Suleiman Jafo wakati alipotembelea mradi huo katika siku za hivi karibuni kufuatia malalamiko ya watumiaji wa usafiri huo,. Baadhi ya maagizo hayo ni pamoja na kutengeneza mabasi yote mabovu na kuzuia magari, pikipiki binafsi kupitia katika barabara hizo, kuchukua mabasi 10 yanayofanya safari mbezi kwenda kimara yabebe abiria wanaoanzia kimara kwenda kivukoni na kariakoo, kushirikiana na SUMATRA kuongeza daladala za kawaida zinazotoka mbezi kwenda Kate na makumbusho na kupeleka majina ya watendaji wanaohujumu mradi kwa katibu mkuu TAMISEMI.

View attachment 1049792
DART ni wabadhirifu sana. wameua mfumo wa kadi kwa kuwa ni vigumu kuiba, tiketi wanaweka za kwao. Sielewi kwann serikali inawabembeleza katika hili la matumizi ya kadi. Matumizi ya kadi hayana longolongo. Nilikuwa Dar kw ajili ya masomo nilipata shida sana na huu usafiri. kuna wakati unaon bora yale madaladala. Kuna njia ambazo hakuna namna ya kuwepa haya mabasi. mfano MUHIMBILI. madaladala yametolewa inabidi upande mpaka fire then uende Muhimbili. Hatari sana.
 
Ziruhusiwe daladala za mbezi na kimara zinazofanya safari za posta , kariakoo na kivukoni zifanye trip kama zamani ili kuwapunguzia adha wananchi wa maeneo hayo na kuleta angalau ka-ushindani na hao DART hii itawaamsha DART kuboresha huduma zao
 
Mwanzoni walidai MaxiMalipo ndo wanaohujumu mradi kumbe mhujumu Mradi yumo humohumo ndichi
 
Wakala wa mabasi yaendayo haraka (Dart) umeanza kutekeleza maagizo yaliyotolewa na Waziri wa TAMISENI Suleiman Jafo wakati alipotembelea mradi huo katika siku za hivi karibuni kufuatia malalamiko ya watumiaji wa usafiri huo,. Baadhi ya maagizo hayo ni pamoja na kutengeneza mabasi yote mabovu na kuzuia magari, pikipiki binafsi kupitia katika barabara hizo, kuchukua mabasi 10 yanayofanya safari mbezi kwenda kimara yabebe abiria wanaoanzia kimara kwenda kivukoni na kariakoo, kushirikiana na SUMATRA kuongeza daladala za kawaida zinazotoka mbezi kwenda Kate na makumbusho na kupeleka majina ya watendaji wanaohujumu mradi kwa katibu mkuu TAMISEMI.

View attachment 1049792
An enemy within

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamempeleka mkurugenzi wao or someone in charge mahakamani kwa ubadhirifu

Biashara tunaambiwa aina faida

Mabasi yanaendeshwa mpaka chali mengi yamepaki garage

CAG anakagua kila mwaka (na hakubaini huo uozo) wa management incompetence

Mie sijawahi ona biashara zinazoendeshwa ovyo kama za serikari

Bado najiuliza how can you fail in such a venture

Only in Tanzania
 
Back
Top Bottom